11.2 C
New York

Staa Arsenal kumfuata Ronaldo

Published:

RIYADH, Saudi Arabia
MATAJIRI wa Al-Nassr ya Saudi Arabia wanaiwinda saini ya mshambuliaji wa kiwango cha juu katika kikosi cha Arsenal, Gabriel Martinelli.
Mpango wa Al-Nassr anayocheza Cristiano Ronaldo ni kuhakikisha wanamnasa Martinelli endapo wataikosa huduma ya winga wa Liverpool, Luis Diaz, majira haya ya kiangazi.
Martinelli (24), amekuwa mchezaji muhimu kwa Arsenal tangu aliposajiliwa mwaka 2019 akitokea Ituano Futebol Clube ya Brazil.
Msimu uliopita, licha ya kuonekana kushuka kiwango, bado Mbrazil hu

Related articles

spot_img

Recent articles

spot_img