JERUSALEM, IsraelWAZIRI wa Ulinzi wa Israel amesema watalisambaratisha eneo la Gaza endapo wapiganaji wa Palestina, Hamas, hawatasitisha mapigano.Mbali ya kutaka lisitishe mapigano, pia Waziri...
MANCHESTER, UingerezaBEKI wa Manchester City, Ruben Dias, ameongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea kuitumikia klabu hiyo ya jijini Manchester.Diaz, raia wa Ureno mwenye umri...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Mganga Mkuu wa Serikali, Dk. Grace Magembe, ametoa wito kwa Waganga Wafawidhi wa hospitali za rufaa nchini kuhakikisha wanazingatia mawasiliano ya...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Yusuf Masauni, amewataka wananchi kuilinda miradi ya mabadiliko...
LONDON, EnglandARSENAL hawatanii. Wakati mabosi wa Tottenham wakiamini ni suala la muda kumtambulisha, Arsenal waliingilia na kumalizana na mshambuliaji wa Crystal Palace, Eberechi Eze....
*Kupunguza Rufaa nje ya nchi na kuvutia tiba utalii, Rais Dokta Samia awekeza bilioni tisa kusomesha madaktari bingwa
Na Clara Matimo, Gazetini-Mwanza
Serikali ya Awamu ya...
Na mwandishi wetu, GazetiniRAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi Shilingi milioni 200 kwa wachezaji wa Taifa Stars endapo...
ROMA, ItaliaBAADA ya kujiunga na AS Roma, winga aliyekuwa Aston Villa, Leon Bailey, anakuwa mchezaji wa kwanza raia wa Jamaica kuitumikia klabu hiyo ya...
LONDON, UingerezaKLABU za Ligi Kuu ya England (EPL) zimeshatumia Pauni bilioni 2.37 katika soko la usajili wa majira haya ya kiangazi, kiasi kikubwa zaidi...
Na Mwandishi Wetu
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amekasirishwa na kasi ndogo ya utekelezaji wa mradi wa njia ya kusafirisha...
Na Mwandishi Wetu
Mahakama ya Wilaya ya Kisarawe, mkoani Pwani, imemhukumu Said Nawanje (20) mkazi wa Yombo Lukinga, wilayani humo, kifungo cha miaka 30 jela...