Na Mwandishi Wetu
Mahakama ya Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam imemhukumu Faridi Mohamedi maarufu Sungusungu kifungo cha miaka 60 jela, kuchapwa viboko sita...
BOGOTA, ColombiaMAHAKAMA Kuu nchini Colombia imeagiza Rais wa zamani wa nchi hiyo, Alvaro Uribe, kuachiwa baada ya awali kuhukumiwa kifungo cha ndani cha miaka...
KYIV, UkraineKATIBU Mkuu wa zamani wa Jumuiya ya Kujihami ya Mataifa ya Magharibi (NATO), Anders Fogh Rasmussen, haoni kama Urusi ina nia ya kurejesha...
LONDON, UingerezaNI takribani wiki mbili tu zimebaki kabla ya kufungwa kwa dirisha kubwa la usajili la majira haya ya kiangazi.Hata hivyo, kwa baadhi ya...
LONDON, UingerezaMSHAMBULIAJI wa Liverpool raia wa Misri, Mohamed Salah, ametwaa tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka wa Chama cha Wanasoka wa Kulipwa (PFA).Salah (33),...
KABUL, Afghanistan WAHAMIAJI 37, wakiwamo watoto 17, waliokuwa wakirejeshwa kutoka Iran wamefariki baada ya gari lao kupata ajali Magharibi mwa Afghanistan.Ofisi Habari wa Taliban, Ahmadullah...
BANGKOK, ThailandMACHAFUKO yanayoendelea katika mpaka wake na Cambodia yameanza kulipa nafasi kubwa jeshi la Thailand kuipindua Serikali iliyoko madarakani katika Taifa hilo la barani...
MUNICH, UjerumaniUSAJILI wa majira haya ya kiangazi umeshuhudia baadhi ya wachezaji wenye majina makubwa wakiipa kisogo Ligi Kuu ya Ujerumani (Bundesliga).Florian Wirtz aliondoka Bayern...
Na mwandishi wetu, GazetiniMIEZI ya hivi karibuni imeshuhudia ajali za ndege zikitisa na kuacha majonzi barani Afrika, ikitosha kutolewa mfano katika mataifa ya Ghana...
Na Mwandishi Wetu
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kaskazini Pemba, linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kujifanya askari Polisi wa kitengo cha uchunguzi wa magari...
Na Mwandishi Wetu
Jeshi la Polisi nchini limekabidhiwa mashine maalumu ya kuweka alama silaha zilizopo nchini ikiwa ni hatua mbalimbali zinazochukuliwa katika kuzuia uzagaaji wa...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Mahakama ya Wilaya ya Pangani, mkoani Tanga, Agosti 18, 2025 imetoa hukumu ya kifungo cha miaka 20 jela kwa mtuhumiwa Idd...