WAGADUGU, Burkina Faso
SERIKALI ya Burkina Faso imetangaza kuzuiwa kwa njama ya kumuua kiongozi wa kijeshi wa nchi hiyo, Kapteni Ibrahim Traoré.
Kwa mujibu wa Waziri...
BAMAKO, Mali
KAMA ambavyo Marekani iliweka marufuku kwa raia wa Mali na Burkina Faso kuingia nchini humo, mataifa hayo nayo yamejibu mapigo.
Mali na Burkina Faso...
Na mwandishi wetu, Gazetini
RIPOTI mpya ya jarida maarufu la Forbes inamtaja mfanyabiashara wa Tanzania, Mohamed 'Mo' Dewji, kuwa nafasi ya 12 katika orodha ya...
Na mwandishi wetu, GazetiniTAIFA kongwe la Afrika Magharibi, Ivory Coast, limeingia katika Uchaguzi Mkuu, huku wagombea watano wakiwania kiti cha urais. Miongoni mwao ni...
YAMOUSSOUKRO, Ivory CoastMKE wa Rais wa zamani wa Ivory Coast, Laurent Gbagbo, ni miongoni mwa wagombea urais katika Uchaguzi Mkuu ujao.Simone Gbagbo mwenye umri...
KINSHASA, DRCUMOJA wa Mataifa umezionya pande mbili zinazopigana nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) ukisema zinahusika katika uhalifu wa kivita nchini humo.Licha ya...
KINSHASA, DRCSERIKALI ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imetangaza maambukizi mapya ya Ebola na vifo 15 vitokanavyo na ugonjwa huo.Ikumbukwe, hizi ni taarifa...
Na mwandishi wetu, GazetiniMIAKA 65 iliyopita, mataifa 14 ya Afrika yalipata uhuru kutoka kwa Ufaransa. Je, ni kwa kiasi gani yamepiga hatua tangu mwaka...
Na mwandishi wetu, GazetiniHATUA ya wawakilishi wa M23 kutohudhuria mkutano wa kusaini mkataba wa amani kati yake na Serikali umeibua hofu, wengi wakiamini bado...