LAGOS, Nigeria
SUPASTAA wa Afrobeats, Burna Boy, amemtaja Jay Jay Okocha kuwa ndiye mchezaji wake bora, akiwatupa kando Cristiano Ronaldo na Lionel Messi.
Katika mahojiano yake...
LOS ANGELES, Marekani
PICHA zinazowaonesha mastaa wa muziki Keyshia Cole na Skrilla zimeibua tetesi kuwa huenda wawili hao sasa ni wapenzi.
Katika moja ya picha alizoposti...
TUNIS, Tunisia
BADO hakuna taarifa rasmi za mamlaka juu ya anakotibiwa mwanasiasa maarufu wa upinzani nchini Tunisia, Rached Ghannouchi.
Wapo wanaosema yuko hospitali ya umma na...
BAMAKO, Mali
KWA sasa, jeshi la Serikali ya Mali liko kwenye wakati mgumu kupigana na muungano wa vikundi viwili vya kigaidi, Azawad Liberation Front (FLA)...
ACCRA, Ghana
STAAA wa muziki nchini Ghana, Shatta Wale, ameeleza kilichosababisha uhusiano wake mbaya na mkali wa Afrobeats, Burna Boy.
Wawili hao waliwahi kuwa washikaji wakubwa,...
YOUNDE, Cameroon
NEW Bell ni moja ya magereza makubwa na maarufu si tu Younde na miji mingine jirani, bali Cameroon kwa ujumla. Wakati fulani, Shirika...
NIAMEY, Niger
WANASHERIA wa Rais wa zamani wa Niger, Mohamed Bazoum, wameomba kiongozi huyo aachiwe huru, ikiwa ni miaka mitatu tangu aliposhikiliwa na jeshi.
Bazoum mwenye...
CAIRO, Misri
BAADA ya kumalizika kwa fainali za Kombe la Dunia, sasa macho na masikio ya mashabiki ya wapenzi wa soka yataelekezwa katika michuano ya...
KINSHASA, DRC
WATU zaidi ya 1,000 wameshapoteza maisha ndani ya miezi miwili ya ugonjwa wa Ebola nchini DRC, idadi kubwa zaidi, ikilinganishwa na mlipuko wa...
LAGOS, Nigeria
MENEJA maarufu wa wasanii wa muziki nchini Nigeria, Ubi Franklin, amefichua kuwa aliwahi kukaribia kujiua kwa kujirusha darajani jijini Lagos.
Franklin ameanika hayo kupitia...