Ads: info@gazetini.co.tz |
22.5 C
Dar es Salaam

World CUP

Japan, Tunisia kufikisha mechi ya 1,000

MEXICO CITY, Mexico JAPAN na Tunisia zitavaana Jumapili ya Julai 21, 2026 katika mchezo wa Kundi F msimu huu wa fainali za Kombe la Dunia. Upekee...

Haiti yatangulia kung’oka Kombe la Dunia 2026

NEW YORK, Marekani TIMU ya soka ya Taifa ya Haiti imekuwa ya kwanza kuaga msimu huu wa fainali za Kombe la Dunia zinazofanyika Marekani, Mexico...

Aliyeitungua Ureno bado kidogo awe kipofu

HOUSTON, Marekani URENO ya Cristiano Ronaldo ingeweza kuibuka na ushindi wa bao 1-0 katika mechi yao ya kwanza msimu huu wa Kombe la Dunia lakini...

Scholes: Ronaldo wa sasa labda acheze kipa

MANCHESTER, Uingereza KIUNGO wa zamani wa Manchester United, Paul Scholes, amesema Cristiano Ronaldo hastahili kuwa kiongozi wa safu ya ushambuliaji ya timu ya soka ya...

Kocha: Ronaldo aachwe…

HOUSTON, Marekani KOCHA wa timu ya soka ya Taifa ya Ureno, Roberto Martinez, haoni kama ni sahihi kwa nahodha wake, Cristiano Ronaldo, kukosolewa baada ya...

Lionel Messi agoma…

NEW YORK, Marekani NAHODHA wa kikosi cha timu ya soka ya Taifa ya Argentina, Lionel Messi, amesema alijikuta akilia baada ya kufunga bao la kwanza...

Makocha waliotimuliwa mapema Kombe la Dunia

NEW YORK, Marekani BAADA ya kufukuzwa katika benchi la ufundi la timu ya soka ya Tunisia, Sabri Lamouchi hajawa kocha wa kwanza kutimuliwa mapema katika...

Kombe la Dunia 2026: Ufaransa ilivyokomesha mazoea ya Afrika

NEW YORK, Marekani MABAO mawili ya Kylian Mbappe na moja la Bradley Barcola yalitosha kuipa timu ya soka ya Ufaransa ushindi wa 3-1 dhidi ya...

Rekodi 5 zilizochomoza Kombe la Dunia 2026

NEW YORK, Marekani FAINALI za Kombe la Dunia zina siku chache tu tangu zianze Juni 11, 2026, zikifanyika katika mataifa matatu; Marekani, Canada na Mexico. Licha...

Renard apewa mikoba ya kocha Tunisia

MEXICO CITY, Mexico SHIRIKISHO la Soka la Tunisia limemtangaza Herve Renard kuwa kocha mpya wa timu yake ya Taifa. Renard (57), amepewa ajira hiyo akichukua nafasi...

Pogba atoa neno kuhusu Yamal

PARIS, Ufaransa KIUNGO wa zamani wa Manchester United, Paul Pogba, amemtaja Lamine Yamal wa Barcelona katika orodha yake ya wachezaji bora watano duniani. Pogba amayesema hayo...

Ronaldo de Lima amvaa Ancelotti kisa sare

TORONTO, Canada MKONGWE wa timu ya soka ya Taifa ya Brazil, Ronaldo Nazario, amekosoa mbinu za kocha Carlo Ancelotti baada ya sare yao ya bao...

Recent articles