Ads: info@gazetini.co.tz |
23.4 C
Dar es Salaam

World CUP

‘Uswahili’ ulivyotawala kambi ya wachezaji Senegal huko Marekani

NEW JERSEY, Marekani TIMU ya soka ya Taifa ya Senegal iliingia kwenye fainali za Kombe la Dunia za mwaka huu (2026) ikiwa inapewa nafasi kubwa...

Kwanini Wapalestina wamechagua kuishangilia Hispania?

JERUSALEM, Palestina KATIKATI ya maisha magumu wanayopitia raia wa Palestina katika Ukanda wa Gaza, burudani ya fainali za Kombe la Dunia imepenya na kupata nafasi...

Mabao mawili ya Ronaldo yaweka rekodi tatu

HOUSTON, Marekani AMEKASIRIKA! Baada ya kupondwa kwa kiwango alichokionesha katika mchezo wa kwanza dhidi ya DRC, straika wa timu ya soka ya Taifa ya Ureno,...

Deschamps afiwa na mama yake, aondoka Kombe la Dunia

NEW YORK, Marekani KOCHA wa timu ya soka ya Taifa ya Ufaransa, Didier Deschamps, amerejea jijini Paris baada ya taarifa za kifo cha mama yake...

Croatia njiapanda, Modric afikisha mechi 200

TORONTO, Canada TIMU ya soka ya Taifa ya Croatia sasa inahitaji ushindi tu mbele ya Ghana ili kufuzu hatua inayofuata (32 Bora) ya msimu huu...

Neymar Jr ataja zitakazokutana fainali

TORONTO, Canada SUPASTAA wa timu ya soka ya Taifa ya Brazil, Neymar, ametabiri watakutana na Hispania katika mchezo wa fainali msimu huu wa Kombe la...

England v Ghana: Refa wa kadi nyingi kusimamia shoo

NEW YORK, Marekani UKIWA ni mchezo wa Kundi L, timu ya soka ya Taifa ya England itaivaa Ghana leo Juni 23, 2026 kwenye Uwanja wa...

Duh! Huyu ni Lionel Messi au ‘AI’?

NEW YORK, Marekani LIONEL Messi ameendelea kuthibitisha upekee wake katika ulimwengu wa mchezo wa kandanda, licha ya umri mkubwa wa miaka 38 alionao. Katika mechi yao...

Haaland naye hacheki, hachekeshi Kombe la Dunia

MEXICO CITY, Mexico STRAIKA wa Manchester City, Erling Haaland, ameendeleza moto wake msimu huu wa Kombe la Dunia baada ya kufunga mara mbili katika ushindi...

Mashabiki Atletico wachoma moto jezi ya Alvarez

TEXAS, Marekani Mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Argentina, aliweka wazi nia yake ya kuondoka Atletico muda mfupi baada ya kuiongoza Argentina kupata ushindi wa mabao...

Rekodi ya Misri yamuibua Salah

CAIRO, Misri WINGA wa timu ya soka ya Taifa ya Misri, Mohamed Salah, ameeleza kufurahishwa na rekodi waliyoiweka msimu huu wa fainali za Kombe la...

Mkongwe aibuka, ataka Ronaldo asisumbuliwe

LISBON, Ureno LEJENDARI wa timu ya soka ya Taifa ya Ureno, Bruno Alves, amewasikia wanaoponda kiwango cha Cristiano Ronaldo msimu huu wa fainali za Kombe...

Recent articles