Ads: info@gazetini.co.tz |
22.7 C
Dar es Salaam

World CUP

Igor Thiago: Kutoka maisha ya msoto hadi Kombe la Dunia 2026

LONDON, Uingereza WAKATI kocha wa timu ya soka ya Taifa ya Brazil, Carlo Ancelotti, alipotangaza kikosi kitakachokwenda kwenye fainali za Kombe la Dunia za mwaka...

Marekani yawataka akina Mayele kukaa karantini

WASHINGTON DC, Marekani TAARIFA kutoka Ikulu ya Marekani imeeleza kuwa wachezaji wa timu ya soka ya Taifa ya DRC watatakiwa kukaa karantini kwa siku 21...

‘Majembe’ yaliyopigwa chini England itakayokwenda Kombe la Dunia 2026

LONDON, Uingereza KOCHA wa timu ya soka ya Taifa ya England 'Three Lions', Thomas Tuchel, ameshatangaza kikosi chake kitakachoshiriki fainali za Kombe la Dunia za...

Argentina kupindua historia Kombe la Dunia 2026?

LONDON, Uingereza TIMU ya Taifa ya Argentina itakwenda kwenye fainali za Kombe la Dunia za mwaka huu ikiwa bingwa mtetezi wa michuano hiyo baada ya...

Kwa England hii, Tuchel ‘ataua’ mtu Kombe la Dunia 2026

LONDON, Uingereza FAINALI za Kombe la Dunia za mwaka huu ziko njiani. Zitaanza Juni 11 na kufanyika kwa mwezi mmoja hadi Julai 19, 2026, huku...

Makubwa ya kufahamu kuelekea Kombe la Dunia 2026

LONDON, Uingereza NI takribani mwezi mmoja umebaki kabla ya kuanza kwa fainali za Kombe la Dunia za mwaka huu. Michuano hiyo itaanza Juni 11, 2026,...

Italia ina nini? Yashindwa tena kufuzu Kombe la Dunia

MILAN, Italia MABINGWA mara nne wa Kombe la Dunia, timu ya taifa ya Italia, imeshindwa kufuzu fainali za mwaka huu zitakazofanyika Marekani, Canada na Mexico. Hii...

Zidane na mzigo wa kuinoa Ufaransa

PARIS, Ufaransa INAELEZWA kuwa Zinedine Zidane 'Zizou' amefikia makubaliano ya kuinoa timu ya taifa ya Ufaransa na ataanza kazi hiyo baada ya fainali za Kombe...

Kama Senegal, timu hizi nazo zilipokonywa ubingwa

LONDON, Uingereza HABARI kubwa iliyotikisa soka la Afrika ni timu ya taifa ya Senegal kuvuliwa ubingwa wa fainali za AFCON zilizomalizika miezi michache iliyopita. Na badala...

Ronaldo nje Kombe la Dunia?

RIYADH, Saudi Arabia MSHAMBULIAJI wa Al-Nassr, Cristiano Ronaldo, atakuwa nje ya dimba kwa muda na hiyo imezua hofu kuwa huenda akazikosa fainali zijazo za Kombe...

Mastaa hawa mguu nje, mguu ndani Kombe la Dunia 2026

LONDON, Uingereza NI miezi michache tu imebaki kabla ya kuanza kwa fainali za Kombe la Dunia zitakazotimua vumbi kwa mwezi mmoja kuanzia Juni, mwakani. Kuelekea fainali...

Bei ya tiketi Kombe la Dunia yazua gumzo

LONDON, Uingereza MASHABIKI wa soka duniani kote wameendelea kulalamikia bei kubwa ya tiketi za kuingia uwanjani wakati wa fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika mwakani. Kwa...

Recent articles