Ads: info@gazetini.co.tz |
23.2 C
Dar es Salaam

Michezo

Huyu ndiye mchezaji ‘mzee’ zaidi Kombe la Dunia 2026

LONDON, Uingereza ZIMABEKI siku tisa tu. Ni fainali za Kombe la Dunia zitakazoanza Juni 11, 2026 huko Marekani, Canada na Mexico, zikitarajiwa kufanyika kwa mwezi...

Wawili wakamatwa wakiuza jezi ‘feki’ za Kombe la Dunia

TORONTO, Canada POLISI nchini Canada wanawashikikia watu wawili baada ya kuwakuta na mzigo wa jezi feki za fainali za Kombe la Dunia za mwaka huu...

Serengeti Boys kuandika historia nyingine Kombe la Dunia?

Na mwandishi wetu, Gazetini BAADA ya kufika fainali ya AFCON kwa vijana wa U-17, Serengeti Boys itashiriki michuano ya Kombe la Dunia kwa vijana wa...

Walker amlipua Tuchel kisa Maguire kuachwa kikosini

LONDON, Uingereza Mbali na Maguire, Walker hajafurahisishwa na uamuzi wa Tuchel kutowaita kikosini Luke Shaw na Morgan Gibbs-White. “Harry Maguire na Luke Shaw walikuwa na viwango...

Zungu awakaanga wabunge walioifuata Serengeti Boys

Na mwandishi wetu, Gazetini SPIKA wa Bunge, Mussa Zungu, amewapa siku nne za kujieleza wabunge waliokwenda Morocco kuitazama timu ya soka ya Taifa ya vijana...

‘Fuso’ ana mlima mrefu kuinasua Prisons isipotee Ligi Kuu Bara

Na Hassan Mwasha, Gazetini MOJA ya timu zinazopumulia mashine msimu huu wa Ligi Kuu Bara ni Tanzania Prison inayonolewa na beki wa kulia wa zamani...

Makocha hawa ‘out’ baada ya Kombe la Dunia 2026

LONDON, Uingereza NI siku 10 tu zimebaki kabla ya kuanza kwa fainali za Kombe la Dunia za mwaka huu zitakazofanyika Marekani, Canada na Mexico. Wakati Argentina...

Hii ndiyo timu yenye wakongwe wengi Kombe la Dunia 2026

PANAMA CITY, Panama FAINALI za Kombe la Dunia ziko njiani, zikiwa zimebaki siku tisa pekee kuanza kushuhudia mataifa 48 yakitoana jasho kwa kipindi cha mwezi...

Galatasaray waitajia Chelsea dau la Osimhen

ISTANBUL, Uturuki KLABU ya Galatasaray ya Ligi Kuu nchini Uturuki imeweka wazi dau la mshambuliaji wake wa kati anayetakiwa Chelsea, Victor Osimhen. Galatasaray wametangaza kuhitaji euro...

Kiungo wa Man City agusia kutimkia Madrid

MADRID, Hispania Kiungo wa Manchester City, Rodrigo Hernández, amesema kwa sasa anaelekeza akili yake kwenye fainali za Kombe la Dunia, licha ya kuzisikia tetesi za...

Vikosi vya Kombe la Dunia 2026: MEXICO

MEXICO CITY, Mexico MATAIFA 48 ndani ya fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika kuanzia Juni 11 - Julai 19, 2026 huko Marekani, Mexico na Canada. Kuelekea...

Vikosi vya Kombe la Dunia 2026: AFRIKA KUSINI

JOHANNESBURG, Afrika Kusini MATAIFA 48 ndani ya fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika kuanzia Juni 11 - Julai 19, 2026 huko Marekani, Mexico na Canada. Kuelekea...

Recent articles