Ads: info@gazetini.co.tz |
24.2 C
Dar es Salaam

Michezo

Man City yamfungia kazi Mbaye

MANCHESTER, Uingereza KLABU ya Manchester City inakazania mpango wa kumsajili mshambuliaji anayetaka kuondoka PSG, Ibrahim Mbaye. Kwa sasa, taarifa zinaeleza kuwa Man City imeanza mazungumzo na...

Al-Hilal yatua kwa Dembele

PARIS, Ufaransa MATAJIRI wa klabu ya Al-Hilal ya Saudi Arabia wanapambana kuinasa saini ya mshambuliaji wa PSG raia wa Ufaransa, Ousmane Dembele. Al-Hilal wameibuka wakati huu...

Man United yamvalia njuga beki Colombia

MANCHESTER, Uingereza KLABU ya Manchester United haijaacha kuipigania saini ya beki wa kati wa timu ya soka ya Taifa ya Colombia, Jhon Lucumi. Nyota huyo wa...

Motsepe: Infantino ni rafiki wa kweli wa Afrika

CAIRO, Misri RAIS wa Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF), Patrice Motsepe, amempongeza Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), Gianni Infantino, akimtaja kuwa kiongozi...

Guardiola atarejesha ufalme wa Italia?

LONDON, Uingereza SHIRIKISHO la Soka la Italia (FIGC) limeanza mazungumzo na kocha aliyeondoka Manchester City, Pep Guardiola, likijaribu kumshawishi kuchukua nafasi ya Gennaro Gattuso aliyeondoka...

A-Z ya mashuti, asisti, mabao Kombe la Dunia 2026

BOSTON, Marekani FAINALI za Kombe la Dunia za mwaka huu (2026) zilizochezwa kwa siku 39, kwenye viwanja 16, zikishirikisha wachezaji 1,039 kutoka timu 48, zilishuhudia...

‘Kufuru’ ya fedha Kombe la Dunia 2026

MIAMI, Marekani KWA kutwaa ubingwa wa Kombe la Dunia mwaka huu (2026), timu ya soka ya Taifa ya Hispania imelamba kitita cha Dola za Marekani...

Anthony Taylor amestaafu kwa heshima, alinusurika kichapo

LONDON, Uingereza BAADA ya miaka 20 ya kufanya kazi, akichezesha mechi 831, mwamuzi wa kati raia wa England, Anthony Taylor, alitangaza kustaafu hivi karibuni. Mechi yake...

Hii kiboko! Marais hawaendi uwanjani Argentina ikicheza

BUENOS AIRES, Argentina HIVI unafahamu kuwa marais wa Argentina wamekuwa makini kuhudhuria viwanjani na wengine hubaki nyumbani pindi timu yao ya soka ya Taifa inapocheza...

Arsenal yang’oa nahodha Madrid

LONDON, Uingereza KLABU ya Arsenal imekamilisha usajili wa nahodha wa timu ya wanawake ya klabu ya Real Madrid, Misa Rodriguez. Nyota huyo mwenye umri wa miaka...

Staa mpya Chelsea apewa jezi ya Hazard

LONDON, Uingereza MSHAMBULIAJI mpya wa Chelsea, Morgan Rogers, atavaa jezi namba 17 msimu ujao, ambayo iliwahi kuvaliwa na lejendari wa timu hiyo, Eden Hazard. Nyota huyo...

Zidane rasmi kocha mpya Ufaransa

PARIS, Ufaransa KOCHA wa zamani wa Real Madrid, Zinedine Zidane, amesaini mkataba wa kuliongoza benchi la ufundi la timu ya soka ya Taifa ya Ufaransa. Zidane...

Recent articles