Ads: info@gazetini.co.tz |
24.2 C
Dar es Salaam

Michezo

Unamkumbuka Sam Allardyce? Ana heshima yake EPL

LONDON, Uingereza WAKATI Alex Ferguson akiwa ndiye kocha aliyehudumu kwa muda mrefu mrefu Ligi Kuu ya England (EPL), Sam Allardyce naye ana historia yake kwenye...

Hawa hapa makocha wa makombe EPL

LONDON, Uingereza MPAKA sasa, Alex Ferguson anabaki katika historia ya soka la Ulaya kama kocha mwenye mataji mengi ya Ligi Kuu ya England (EPL). Alistaafu...

Kwa makocha hawa, mambo yalikuwa magumu Kombe la Dunia 2026

BOSTON, Marekani RUDI GARCIA wa Ubelgiji ni miongoni mwa makocha waliojikuta kwenye wakati mgumu katika fainali zilizopita za Kombe la Dunia. Itakumbukwa kuwa Garcia aliondoka kwenye...

Yanga yamnasa winga Albert Kangwanda

Na mwandishi wetu, Gazetini MABINGWA wa Tanzania Bara, Yanga SC, wamekamilisha usajili wa winga wa kimataifa kutoka Zambia, Albert Kangwanda, kwa mkataba wa miaka miwili...

Emery atarudi kwa staili gani EPL 2026-27?

LONDON, Uingereza WAKATI anakabidhiwa mikoba ya kuinoa Aston Villa mwaka 2022, Unai Emery aliikuta timu hiyo ikiwa nafasi ya 14 kwenye msimamo wa Ligi Kuu...

Macho yote sasa WAFCON 2026

CAIRO, Misri BAADA ya kumalizika kwa fainali za Kombe la Dunia, sasa macho na masikio ya mashabiki ya wapenzi wa soka yataelekezwa katika michuano ya...

Pirlo anukia ukocha Italia

MILAN, Italia MKONGWE wa klabu ya AC Milan, Andrea Pirlo, anakaribia kutangazwa kuwa kocha mkuu wa timu ya soka ya Taifa ya Italia. Kwa mujibu wa...

Mkongwe Arsenal apata ulaji Ujerumani

MUNICH, Ujerumani BEKI wa kati wa zamani wa Arsenal, Per Mertesacker, ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Michezo wa Chama cha Soka cha Ujerumani (DFB). Mertesacker mwenye umri...

WAFCON 2026: Nini hatima ya makocha wanawake?

CAIRO, Misri FAINALI za mwaka huu Mataifa Afrika kwa timu za soka za Taifa za Wanawake (WAFCON 2026) zitaanza kutimua vumbi Julai 26, 2026. Timu 16...

Nyota zao zimewaka kupitia Kombe la Dunia 2026

LONDON, Uingereza KABLA ya kuanza kwa fainali za Kombe la Dunia za mwaka huu (2026), hawakuwa na majina makubwa, lakini sasa wanawindwa na klabu kubwa...

Chelsea yashusha kiungo, asaini minne

LONDON, Uingereza KLABU ya Chelsea imetangaza usajili wa kiungo kutoka Wigan Athletic, Harrison Bettoni, ambaye amesaini mkataba wa miaka minne. Bettoni (18), alikuwa mchezaji muhimu katika...

Nyota mpya Arsenal apewa jezi yake

LONDON, Uingereza MSHAMBULIAJI mpya wa Arsenal, Christos Tzolis, amekabidhiwa jezi namba 17 kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu ya England (EPL) na michuano...

Recent articles