Ads: info@gazetini.co.tz |
28.2 C
Dar es Salaam

Makala

Makala| Elimu bora, Mazingira bora inavyolipa Muheza

Na Faraja Masinde, Muheza “Hata sisi walimu tumejifunza kwamba tunapofundisha hatutakiwi kutumia dakika zote 45 darasani hapana, kuna muda wa kuwatoa wanafunzi nje ya darasa...

Makala| Safari ya Siah Malle katika uhandisi inavyochochea vipaji vipya vya wanawake wenye ndoto kubwa

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Siah Malle ni mfano mzuri wa mwanamke ambaye amefanikiwa kuvunja dhana iliyojengeka na kuwagawa wanawake na wanaume kwenye uwanja wa taaluma...

Makala| Vipepeo; kitega uchumi kinachokumbukwa Muheza

*Serikali yasisitiza wananchi kuwa na subira Na Faraja Masinde, Muheza “…tuliumia sana, tukawaachia tu wakaruka na kwenda zao. Tukasema hatuna cha kufanya… na wakati huo ndiyo...

GGML yadhamiria kuendeleza wahandisi wanawake

Na Mwandishi Wetu, Gazetini KAMPUNI ya AngloGold Ashanti - Geita Gold Mining Limited (GGML), imeahidi kushirikiana na Serikali ya Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya...

GGML inavyoacha alama isiyofutika Geita

*...yatoa msaada wa madawati 8,823 Na Mwandishi Wetu, Gazetini KATIKA kutimiza dhamira ya kuimarisha sekta ya elimu na kuwezesha mazingira ya utoaji elimu nchini kuwa ya...

Makala| Wananchi wanavyoteswa na Watendaji wadanganyifu

Na Faraja Masinde, Gazetini MACHI, 2022, Zahanati ya Ihumwa mjini Dodoma, iliweka wazi changamoto ya uhaba wa magodoro katika wodi ya wazazi. Unaizungumzia zahanati iliyoko...

DCEA: Kila mtu anawajibika kudhibiti dawa za kulevya

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Katika kuhakikisha kuwa matumizi ya dawa za kulevya nchini yanadhibitiwa, jamii imeaswa kuelimisha watoto na vijana juu ya athari zitokanazo na...

Mwandishi Gazetini kuwania tuzo EJAT

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Mwandishi Faraja Masinde kutoka tovuti ya www.gazetini.co.tz inayo chini ya Gazetini Communications ni kati ya waandishi wa habari 91 waliopitishwa...

Makala| Sababu wanaume kukwepa chanjo ya Uviko-19

Na Faraja Masinde, Gazetini TAFITI mbalimbali za afya zimethitisha kuwa chanjo huzuia takribani vifo milioni mbili hadi tatu kila mwaka kutokana na maradhi yanayozuilika kwa...

Makala| ‘Kamari’ ya maisha mazuri inavyopeperusha nguvu kazi ya Taifa

Na Faraja Masinde, Gazetini Tanzania, kama zilivyo nchi zingine za Afrika, imeendelea kugubikwa na changamoto ya uhaba wa ajira, hasa kwa kundi la vijana na...

Visual: Elimu bado inahitajika kudhibiti TB nchini

Na Faraja Masinde, Gazetini Licha ya kazi kubwa inayofanywa na Serikali katika kudhibiti Kifua Kikuu(TB) nchini ikiwamo kutoa matibabu bure lakini bado takwimu zinaonyesha kwamba...

Visual| Ilichukua muda gani kwa idadi ya watu duniani kuongezeka kwa bilioni moja?

Na Jackline Jerome, Gazetini Kwa mujibu wa Ripoti ya Makadirio ya Kati ya Umoja wa Mataifa(UN's-Mid Year) Mwaka 2023 Dunia imefikisha watu bilioni 8. Idadi...

Recent articles