Ads: info@gazetini.co.tz |
28.2 C
Dar es Salaam

Makala

JET, GIZ zawanoa waandishi wa habari kuhusu migongano ya binadamu na wanyamapori

Na Mwandishi Wetu, Bagamoyo Chama cha Waandishi wa Habari za Mazingira Tanzania (JET) kwa ufadhili wa  Shirika la Maendeleo la Ujerumani (GIZ) kwa niaba ya...

Juhudi za pamoja zinahitajika kudhibiti biashara haramu ya viumbe pori

Na Faraja Masinde, Gazetini Takwimu zinaonyesha kuwa biashara haramu ya viumbe pori inashika nafasi ya nne katika kundi la biashara haramu duniani ikitangaliwa na ile...

GGML yazindua mpango wa mafunzo kazini kwa mwaka 2024/2025

*Wanafunzi 40 kufaidika na mpango huo Na Mwandishi Wetu, Gazetini KATIKA kudhihirisha dhamira ya kuwajengea wahitimu wa vyuo mbalimbali kukubalika kwenye soko la ajira, Kampuni ya...

TFS: Uvamizi maeneo ya hifadhi ni chanzo cha mabadiliko ya Tabianchi

*Wataalam waonya huku wakieleza inavyoathiri wanyama Na Faraja Masinde, Gazetini Mabadiliko ya Tabianchi ni tatizo linaliokabili Dunia katika karne hii ya 21 ambapo athari zake zimekuwa...

JET kuwajengea uwezo waandishi wa habari kuhusu uhifadhi

Na Mwandishi Wetu, Gazetini CHAMA cha Waandishi wa Habari za Mazingira Tanzania (JET) kimeandaa mafunzo ya siku mbili kwa waandishi wa habari za Mazingira kutoka...

Makala| Mazingira bora ya uwekezaji yanaivutia AngloGold Ashanti kuwekeza zaidi Tanzania 

Na Mwandishi Wetu, Gazetini KUTOKANA na mazingira mazuri ya uwekezaji yanayoendelea kuboreshwa na Serikali inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan, Kampuni AngloGold Ashanti imetangaza kuanzisha...

Visual| Watoto walivyoathirika na mafuriko Hanang

Na Faraja Masinde, Gazetini Serikali inaendelea na uratibu wa shughuli mbalimbali baada ya maafa ya maporomoko ya tope, mawe, magogo na maji kutoka mlima Hanang...

Dar yaandikisha Watoto 2,000 kuanza darasa la kwanza mwaka 2024

Na Patricia Kimelemeta, Gazetini Watoto zaidi ya 2,000 wameandikishwa kujiunga na darasa la kwanza kwa Mwaka 2024 ambao ni kati ya umri wa miaka sita...

Visual|Maendeleo ya uokoaji wa waathirika Hanang

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Gazetini imekufanyia uchambuzi wa Taarifa fupi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyotolewa leo Desemba 5, 2023, kuhusu maendeleo...

GGML ilivyong’ara usiku wa madini, yatwaa tuzo mbili

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Mchango wa Kampuni ya AngloGold Ashanti – Geita Gold Mining Limited (GGML) umeendelea kutambuliwa na wadau mbalimbali wa sekta ya madini...

GGML yawanoa Wanafunzi Nyamkumbu kuhusu taaluma ya madini

Na Mwandishi Wetu, Gazetini ZAIDI ya Wanafunzi 50 kutoka Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Nyankumbu iliyopo mkoani Geita wamepatiwa mbinu za kuzingatia katika masomo...

Visua| Hii ndiyo Hifadhi ya Mazingira Asilia ya Amani

Na Faraja Masinde, Gazetini NI Hifadhi iliyotawaliwa na ukimya mkubwa. Kelele zake utazisikia kupitia ndege tu wanaoruka kutoka tawi moja kwenda jingine wakijitafutia chakula chao...

Recent articles