Ads: info@gazetini.co.tz |
29.5 C
Dar es Salaam

Makala

Idi Amin; Utata wa ‘birthday’, usaliti, na udikteta wake (5)

Na mwandishi wetu, Gazetini KATIKA sehemu iliyopita, aliyekuwa Waziri wa Afya katika uongozi wa Idi Amin, Henry Kyemba, alisimulia kupitia Kitabu chake cha 'State of...

Idi Amin; Utata wa ‘birthday’, usaliti, na udikteta wake (4)

Na mwandishi wetu, Gazetini KATIKA sehemu ya tatu ya mfululizo wa makala haya, tuliona namna Idi Amin akiwa Mkuu wa Majeshi alivyopindua Serikali ya Rais...

Marekani, ICC bado mambo magumu

NEW YORK, Marekani MAPEMA wiki hii, Katibu Mkuu wa Marekani, Marco Rubio, aliijia juu Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC), akiita kuwa ni yenye kuendeshwa...

Mpinzani wa Putin aliyehukumiwa miaka 11 gerezani

MOSCOW, Urusi MWANASIASA mwandamizi wa upinzani kupitia Chama cha Yabloko, Lev Shlosberg, anafahamika kwa matamko yake ya kuikosoa Serikali ya Rais Vladimir Putin. Kati ya mambo...

Uratibu wa maafa sasa kidijitali zaidi, Serikali yawaita wadau

Na Hassan Mwasha, Gazetini AGOSTI 19 ya kila mwaka, Tanzania, kama zilivyo nchi zingine duniani, huadhimisha Siku ya Kimataifa ya Misaada ya Kibinadamu. Kwa kuyataja...

Rais Trump na Baraza la Mawaziri la mabilionea

WASHINGTON DC, Marekani VIGOGO wote 57 walioteuliwa na Rais Donald Trump katika awamu yake ya pili madarakani ni matajiri wa kutupwa. Kila mmoja ana utajiri...

Sekta za Mageuzi zinazoibeba Dira 2050: Huduma

Na mwandishi wetu, Gazetini SEKTA hii itachukua nafasi muhimu katika kuendesha maendeleo ya Tanzania, hususan katika maeneo ya biashara, huduma za ukarimu, na huduma zingine...

Sekta za Mageuzi zinazoibeba Dira 2050: Fedha

Na mwandishi wetu, Gazetini KAMA zilivyo zingine, sekta hii nayo itakuwa kichocheo muhimu cha mageuzi ya kiuchumi ifikapo mwaka 2050. Kwanini? Mahitaji ya huduma za kifedha,...

Sekta za Mageuzi zinazoibeba Dira 2050: Michezo na Ubunifu

Na mwandishi wetu, Gazetini SEKTA hizo zina uwezo mkubwa ambao haujatumiwa kikamilifu katika kuchochea maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Sekta hizi zinatoa fursa muhimu kwa...

Sekta za Mageuzi zinazoibeba Dira 2050: Uchumi wa Buluu

Na mwandishi wetu, Gazetini SEKTA ya Uchumi wa Buluu unaozingatia matumizi endelevu ya rasilimali za bahari na maji baridi, utakuwa na mchango mkubwa katika kuleta...

Mikakati, udhibiti wa dawa za kulevya nchini

Na mwandishi wetu, Gazetini UDHIBITI wa tatizo la dawa za kulevya hufuata Sheria ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya namba 5 ya mwaka...

Wanafunzi na matumizi ya dawa za kulevya

Na mwandishi wetu, Gazetini TAARIFA ya Dawa za Kulevya ya Dunia ya mwaka 2025 inaonesha kuwa matumizi ya dawa za kulevya katika umri mdogo yana...

Recent articles