Na mwandishi wetu, Gazetini
MTANZANIA, Gloria Majule, ameendelea kuiwakilisha vyema Tanzania katika jukwaa la kimataifa la sanaa baada ya kuibuka mshindi wa tuzo ya uandishi...
Na mwandishi wetu, Gazetini
HATIMAYE msimu huu 16 wa Shindano maarufu la vipaji la Bongo Star Search umefikia ukomo kwa mwimbaji Praise Wisdom kuibuka mshindi.
Mwanamuziki...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
UNAWEZA kufikiria kuhusu shoo nyingi za muziki zilizowahi kufanyika hapa nchini lakini 'Miaka 30 ya Bongo Fleva' imekuja na upekee mkubwa.
Ni...
Na mwandishi wetu, Gazetini
GAZETINI Communication, kupitia chombo chake cha habari cha Gazetini, imeingia makubaliano ya ushirikiano na International Women's Peace Group (IWPG) ya Korea...
Na mwandishi wetu, Gazetini
TANZANIA imebaki katika nafasi yake ya 112 kwenye viwango vipya vya ubora wa soka duniani vya Shirikisho la Soka la Kimataifa...
na mwandishi wetu, Gazetini
SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limepokea malori 214 kutoka kampuni ya Isuzu East Africa kupitia Al Mansour Auto EA Tanzania kwa...
Na Ramadhan Hassan, Dodoma
HOSPITALI ya Benjamin Mkapa (BMH), kwa kushirikiana na Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), imeandika historia kwa kufanikisha kwa mara ya...
Samatta na viatu vyake, Mwakinyo na glovu zake
Na Hassan Mwasha, Gazetini
SAFARI ya Mbwana Samatta na timu ya soka ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars'...
Na mwandishi wetu, Gazetini
SHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco) limetangaza kukatika kwa huduma ya umeme katika baadhi ya maeneo ya mikoa ya Morogoro na Tanga...
-Yaiwezesha Serikali kupata thamani halisi ya fedha-Wadau ununuzi wa umma 2,600 wafikiwa mafunzo matumizi ya moduli
Na Mwandishi wetu, Gazetini
Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za...
Na mwandishi wetu, Gazetini
MKURUGENZI Mtendaji wa Chama cha Waandishi wa Habari za Mazingira Tanzania (JET), John Chikomo, amesema asasi za kiraia zina nafasi muhimu...