Ads: info@gazetini.co.tz |
20.8 C
Dar es Salaam

Kitaifa

Abou Mayalla; Kipa wa viwango Comoro anayeitaka jezi Taifa Stars

Na Hassan Mwasha, Gazetini ABOUBAKAR Mayalla ni miongoni mwa wachezaji wa Tanzania wanaocheza soka la kulipwa nje ya nchi, akiamini ni suala la muda tu...

Serikali yawekeza Tril. 13.5 kuboresha umeme, yazindua mita janja

Na Mwandishi Wetu, Gazetini SERIKALI imeendelea kuimarisha sekta ya nishati kupitia uwekezaji mkubwa wa zaidi ya Sh trilioni 13.5 katika miradi 41 ya umeme nchini,...

Dunia yaadhimisha Siku ya UKIMWI kwa onyo kali na wito wa kuchukua hatua

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Dunia leo Desemba 1, 2025, inaadhimisha Siku ya UKIMWI Duniani, huku Umoja wa Mataifa ukitoa onyo kali kuhusu mustakabali wa mapambano...

Mtaalamu: Saidieni jamii kutambua manufaa ya bahari

Na Mwandishi Wetu, Gazetini WAANDISHI wa habari nchini wameaswa kuwa mstari wa mbele katika kusaidia jamii, hususan ile inayoishi kandokando ya ukanda wa pwani, kutambua...

Azam hoi, yapigwa tena Shirikisho

Na mwandishi wetu, GazetiniBAO pekee la dakika ya 57 la Nordin Amrabat liliipa Wydad Casablanca uhakika wa pointi tatu za mchezo wao wa ugenini...

Yanga haitanii, yafikisha pointi nne CAF

Na mwandishi wetu, GazetiniKATIKA mchezo wa jana, JS Kabylie ikiwa nyumbani ilimazilishwa suluhu na Yanga, ukiwa ni mchezo wa Kundi B msimu huu wa...

REA imefanya kazi kubwa ya kufikisha huduma za nishati vijijini- Waziri Ndejembi

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi ameipongeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA), kwa kufikisha umeme kwenye vijiji na maeneo ya pembezoni mwa...

Simba ni ‘do or die’, hesabu kali huko Mali

Na mwandishi wetu, GazetiniBAADA ya kupoteza mechi yao ya kwanza ya hatua ya makundi msimu huu wa Ligi ya Mabingwa, Simba inahitaji ushindi wikiendi...

Yanga kutamba ugenini leo?

KABYLIA, AlgeriaYANGA watakuwa ugenini leo kumenyana na JS Kabylie, mchezo wa pili kwa kila timu msimu huu wa Ligi ya Mabingwa Afrika.Ni mechi ya...

Ndejembi: Tanzania sasa ina umeme wa kutosha, mgao utabaki historia

Na Mwandishi Wetu, Gazetini WAZIRI wa Nishati, Deogratius Ndejembi, amesema Tanzania kwa sasa ina umeme wa kutosha, na kwamba ukamilifu wa Mradi wa Kufua Umeme...

Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu  ajiuzulu TEF

Na Mwandishi Wetu, Gazetini MKURUGENZI wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Bakari Machumu amejiuzulu nafasi ya makamu mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF).Machumu amekabidhi barua...

Waziri Mkuu aeleza sababu yakutotaja idadi vifo vilivyotokea Oktoba 29

Na Mwandishi Wetu, Gazetini WAZIRI Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba amesema ni muhimu watanzania kutanguliza utu na heshima kwa familia zilizopoteza wapendwa wao, akipinga namna ambavyo...

Recent articles