Mwandishi Wetu, Gazetini-Singida
Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Zuhura Yunus, amewahimiza wafanyakazi wa sekta mbalimbali nchini kujenga utamaduni wa kushiriki michezo na kufanya mazoezi mara kwa mara ili kuimarisha...
*Ahamasisha ushirika wa wakulima
Na Ramadhan Hassan, Gazetini-Dodoma
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Aprili 27, 2025, ametoa maagizo sita kwa wadau wa sekta ya kilimo nchini, akisisitiza umuhimu wa wakulima kujiunga katika vyama vya ushirika vilivyosajiliwa ili kujiongezea...