Ads: info@gazetini.co.tz |
24.2 C
Dar es Salaam

Jamii

Makala: Wazazi, wadau wataka fursa nyingine waliokatizwa masomo kwa mimba

CHANGAMOTO za maisha ikiwamo ukosefu wa mahitaji muhimu kwa wasichana walioko shule ni moja ya vichochezi vinavyosababisha wengi kuishia kupata ujauzito hali inayokosesha fursa...

Ripoti| Mitandao inavyogeuka tishio maisha ya watu

LICHA ya ujio wa mitandao ya kijamii kuwa na faida nyingi katika nyanja mbalimbali, ikiwamo ya kiuchumi, ukweli usio na shaka ni kwamba imekuwa...

Infographic| Mazingira ya elimu kwa Wanafunzi wenye Ulemavu Tanzania

Ripoti ya Utafiti juu ya Upataji Elimu ya Awali kwa Watoto wenye Ulemavu Tanzania Bara, iliyozinduliwa Septemba, 2021 na Shirika la Haki Elimu Tanzania uliohusisha maeneo matatu...

Visualization| Dawa za kulevya na mapambano yake Tanzania

Tatizo la Dawa za Kulevya lina madhara makubwa katika Maisha ya wananchi, uwezo wa raslimali watu na maendeleo endelevu ya nchi. Kwa kutambua athari hizo...

Infographic| Unyanyapaa, tabia hatarishi bado ni mwiba mapambano VVU

PWANI, TANZANIA UNYANYAPAA na ubaguzi umetajwa kuwa bado ni kikwazo katika mapembano dhidi ya UKIMWI nchini. Hayo yamebainishwa hivi karibuni kwenye Warsha ya siku tatu ya...

Infographic| Mabegi yanavyoacha maumivu kwa wanafunzi

Kwa miaka ya karibuni imekuwa ni kawaida kukutana na wanafunzi hususan wa elimu msingi wakiwa na mabegi makubwa mgongoni wakati wa kwenda na kurejea...

Infographic| Mafanikio yaliyofikiwa uzalishaji maji nchini

Kwa miaka ya karibuni sehemu kubwa ya miji ya Tanzania imeendelea kupata huduma muhimu ya maji. Kwa mujibu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS)...

Miaka 60 ya Uhuru| Tanzania ilivyosukwa

DESEMBA 9 kila mwaka, ni kumbukizi ya uhuru wa Tanzania kutoka kwa Waingereza na kwa mwaka huu itakuwa ni miaka 60 tangu ilipojitoa kwenye...

Infographic| Jitihada za kutokomeza Saratani ya Mlango wa Kizazi Tanzania

Kwa mujibu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Saratani ni mabadiliko ya ukuaji wa seli au chembechembe hai na...

Infographic| Ukosefu wa elimu ya upangaji bajeti inavyovuruga familia

KUSUASUA kwa Uchumi ni miongoni mwa sababu ya migogoro kuanzia ngazi ya familia, na wakati mwingine kupelekea uwepo wa vitendo vya ukatili wa kijinsia...

Visualization| WaterAid inavyojali afya, usafi Dar es Salaam

KATIKA kuadhimisha Siku ya Kunawa Mikono Duniani, shirika lisilo la kiserikali la WaterAid Tanzania, limekabidhi vituo 12 vya kunawia mikono kwenye maeneo tofauti jijini...

Recent articles