Ads: info@gazetini.co.tz |
22.2 C
Dar es Salaam

Jamii

DCEA: Kila mtu anawajibika kudhibiti dawa za kulevya

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Katika kuhakikisha kuwa matumizi ya dawa za kulevya nchini yanadhibitiwa, jamii imeaswa kuelimisha watoto na vijana juu ya athari zitokanazo na...

Visual| Fahamu idadi ya Watoto Tanzania

*Serikali iongeze nguvu vijijini Na Mwandishi Wetu, Gazetini Kulingana na matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022, idadi ya Watoto nchini Tanzania ni...

Visual| Idadi ya watu Tanzania kwa umri

Kulingana na matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi iliyofanyika Oktoba 23, 2022 yanaonyesha kwamba idadi ya Watanzania wanaoishi maeneo ya Vijijini ni karibu...

Mwandishi Gazetini kuwania tuzo EJAT

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Mwandishi Faraja Masinde kutoka tovuti ya www.gazetini.co.tz inayo chini ya Gazetini Communications ni kati ya waandishi wa habari 91 waliopitishwa...

Visual| Daraja la Busisi kutoka dakika 120 hadi 4

Na Immaculate Makilika – MAELEZO Kawaida daraja hujengwa kwa kusudi la kuwa na njia ya kupitia juu ya pengo au kizuizi. Licha ya hivyo daraja...

GGML yatoa elimu ya haki, wajibu maadhimisho Siku ya Mtoto wa Afrika

Na Mwandishi Wetu, Gazetini KATIKA kuadhimisha siku ya mtoto wa Afrika kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imeshirikiana na wadau mbalimbali likiwemo Jeshi la...

Makala| Sababu wanaume kukwepa chanjo ya Uviko-19

Na Faraja Masinde, Gazetini TAFITI mbalimbali za afya zimethitisha kuwa chanjo huzuia takribani vifo milioni mbili hadi tatu kila mwaka kutokana na maradhi yanayozuilika kwa...

Makala| ‘Kamari’ ya maisha mazuri inavyopeperusha nguvu kazi ya Taifa

Na Faraja Masinde, Gazetini Tanzania, kama zilivyo nchi zingine za Afrika, imeendelea kugubikwa na changamoto ya uhaba wa ajira, hasa kwa kundi la vijana na...

Infographic| Maambukizi mapya ya VVU bado ni mtego kwa vijana

*TACAIDS yasema mapambano bado hayajaisha *Nyenzo ya Kondomu yasisitizwa Na Mwandishi Wetu, Gazetini Maambukizi mapya ya Virusi Vya UKIMWI ni kama bado yameendelea kuwa mtego kwa...

Chart| Hali ya ukosefu wa chanjo kwa watoto Kusini na Mashariki mwa Afrika

Na Hassan Daudi, Gazetini Ripoti ya Mwaka ya Hali ya Watoto Duniani iliyotolewa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) inayofahamika kama "State...

Kuzuia Kisukari na Shinikizo la Damu; Mwanzo ni kujitambua

Na Tulinagwe Malopa, Gazetini Kisukari na shinikizo la damu ni magonjwa yanayoathiri mamilioni ya watu Tanzania na duniani kote. Hata hivyo, wengi wetu hatujui kuhusu...

Visual| Tanzania na mkakati wa kudhibiti Malaria 2030

Na Jackline Jerome, Gazetini Serikali ya Tanzania imetangaza kuwa katika kuhakikisha ugonjwa wa Malaria unadhibitiwa huduma za ugonjwa huo zitaanza kutolewa bure katika vituo vya...

Recent articles