Pamoja na nguvu kubwa ambayo imekuwa ikitumika na Serikali ya Tanzania katika kutokomeza Kifua Kikuu lakini takwimu zinaonyesha kwamba bado kuna kazi kubwa ya...
Tanzania imekuwa ni kati ya nchi zinazopambana kwa dhati kuhakikisha kuwa inafikia sehemu nzuri ya udhibiti wa dawa za kulevya kama si kumaliza kabisa...
*Mapambano ya saratani ya mlango wa kizazi yaendelea
“Kupima saratani ya mlango wa kizazi kwa wanawake ndio mpango mzima…tupambane tuishinde isiue mtu. Mko wapi akina...
Tanzania imepokea dozi nyingine 800,000 za chanjo ya Uviko-19 aina ya Sinopharm kutoka Serikali ya China.
Waziri wa Afya, Ummy Malimu, amesema kuwa: "Tumepokea chanjo...
Tatizo la Dawa za Kulevya lina madhara makubwa katika Maisha ya wananchi, uwezo wa raslimali watu na maendeleo endelevu ya nchi.
Kwa kutambua athari hizo...
Akichambua ripoti ya utafiti uliofanyika juu ya maambukizi ya VVU Tanzania (Tanzania HIV Impact Survey) 2016-2017, Mhadhiri Msaidizi wa Chuo Kikuu cha Dar es...
PWANI, TANZANIA
UNYANYAPAA na ubaguzi umetajwa kuwa bado ni kikwazo katika mapembano dhidi ya UKIMWI nchini.
Hayo yamebainishwa hivi karibuni kwenye Warsha ya siku tatu ya...
Kwa miaka ya karibuni imekuwa ni kawaida kukutana na wanafunzi hususan wa elimu msingi wakiwa na mabegi makubwa mgongoni wakati wa kwenda na kurejea...