Ads: info@gazetini.co.tz |
32.2 C
Dar es Salaam

Author: Gazetini Editor

Serikali yaboresha hifadhi ya Makuyuni kwa maendeleo ya utalii

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Serikali kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imeendelea na juhudi za kuboresha Hifadhi ya Makuyuni Wildlife Park mkoani Arusha,...

DCEA: Wanawake wateja wakubwa wa Skanka, wanatumia kupunguza mawazo

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Uchunguzi uliofanywa na Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) umebaini kuwa wanawake ndiyo wateja wakubwa  wa dawa...

Serikali yachukua hatua kupunguza migongano ya binadamu na wanyamapori

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Serikali ya Tanzania imeanzisha mpango wa matumizi bora ya ardhi katika maeneo yanayopakana na hifadhi, ikiwa ni juhudi za kuondoa migongano...

Chart| Sababu za waliojifungua kukataa kurudi shule

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Elimu ni msingi muhimu kwa maendeleo ya jamii na uchumi wa nchi yoyote. Hata hivyo, takwimu za Ofisi ya Rais Tamisemi...

Chart| Miundombinu shuleni bado changamoto

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Pamoja na jitihada za Serikali za kukabiliana na tatizo la upungufu wa miundombinu ya elimu katika shule ikiwamo kujenga majengo mapya...

TACAIDS yawataka wadau kushiriki upatikanaji fedha za Mwitikio wa UKIMWI

Na Nadhifa Omary, Gazetini-Dodoma Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS), imehimiza wadau kutoa ushirikiano kwa maoni na mawazo yao chanya ambayo yataboresho mkakati wa ukusanyaji fedha...

Utafiti wafichua kemikali hatarishi iliyojificha katika plastiki zilizorejelezwa

*Wataalamu waeleza kuwa ni chanzo cha majanga makubwa matatu *Serikali yatakiwa kuwa macho kuhakikisha wapunguza madhara Na Faraja Masinde, Gazetini Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizojiunga...

NIDA ilipofikia utoaji wa vitambulisho vya Taifa

Na Ramadhan Hassan, Gazetini-Dodoma WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amesema Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) hadi sasa imefanikiwa kusajili...

IWPG Global Region 2, signs an agreement with University Ministry of Africa Trust(UMOA)

On the 13th, Global Region 2 of the International Women's Peace Group (IWPG, Regional director Seoyeon Lee) held an online MOA signing ceremony to...

Mvua yaua watu 50, nyumba 1,000 zabomolewa

Na Nora Damian, Gazetini Zaidi ya watu 50 wamefariki dunia kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha ambazo zimesababisha mafuriko katika maeneo mbalimbali nchini. Vifo 28 zimeripotiwa kutokea...

Shule 60 Tanzania zitakavyonufaika na mpango wa TWIGA WA KIJANI

Na Mwandishi Wetu, Gazetini-Mwanza Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) kwa kushirikiana na Taasisi ya Wezesha Binti na Mama Mjasiriamali (WBM) linatarajia kupanda miti 6,000 ndani...

Hali ya usimamizi wa usalama na afya

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali inachukua kila jitihada kuhakikisha wafanyakazi nchini wanalindwa dhidi ya...

Recent articles

spot_img