Na Mwandishi Wetu
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amewataka wakuu wa mikoa na wilaya nchini kuwaongoza wananchi katika maeneo yao...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Vijana wadogo 295 wenye umri chini ya miaka 12,wamejitokeza katika mashindano ya mchezo wa kuogelea ya Taifa ambapo Chama cha Mchezo huo Tanzania (TSA), kimesema...
Na Mwandishi Wetu
Serikali imetoa wito kwa wananchi kubadilika na kuwekeza katika bima ya afya kama njia ya kujiandaa na changamoto za kiafya, ikiwemo gharama...
Na Mwandishi Wetu
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, imezindua Kituo cha Huduma kwa wateja, kilichograimu takribani Sh 100 milioni kwa lengo la kuanza kupokea ushauri,maoni...
Na Mwandishi Wetu
Ndege ya abiria ya Shirika la Ndege la India ‘Air India’ iliyokuwa inatokea nchini India kwenda London nchini Uingereza imeanguka na kuwaka moto leo...
Na Mwandishi Wetu
Serikali imesema kuwa inaendelea kufuatilia kwa makini sakata la mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Yanga na Simba, lakini haitangilia...
Na Mwandishi Wetu
Katibu Mkuu wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dk. John Jingu amesema Serikali inaendelea na juhudi mbalimbali kuhakikisha kwamba...
Na Mwandishi Wetu
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amewakaribisha wawekezaji kutoka China kuwekeza nchini hususan kuendeleza sekta...
Na Mwandishi Wetu
Pamoja na mkanganyiko uliopo juu ya mchezo dabi ambapo Yanga wameweka wazi kuwa hawatapeleka timu uwanjani Juni 15, klabu ya Simba imetoa...
Na Mwandishi Wetu
Sakata la Klabu ya Yanga la fedha za zawadi, limeendelea baada ya kutoa tuhuma nyingine kwa Shirikisho la Soka Tanzania( TFF) ambapo...
Na Mwandishi Wetu
Rais Samia Suluhu Hassan amewaasa wahitimu wa kozi ya maafisa na wakaguzi wasaidizi wa Jeshi la Polisi kuwa mabalozi wa maadili na...