28.1 C
New York

Kumeanza kuchangamka! Hizi hapa mechi za 32 Bora Kombe la Dunia

Published:

MIAMI, Marekani

MECHI za hatua ya 32 Bora msimu huu wa Kombe la Dunia zitaanza kuchezwa usiku wa leo Juni 28, 2026.

Colombia baada ya kulazimisha suluhu dhidi ya Ureno, imetinga hatua hiyo ikitokea Kundi K.

DRC nayo imeingia baada ya ushindi wake dhidi ya Uzbekistan, kama ilivyo kwa Croatia iliyoifunga Ghana mabao 2-1 katika mchezo wa mwisho.

Mechi ya kwanza ya hatua ya 32 Bora itawakutanisha wenyeji Canada dhidi ya Afrika Kusini ‘Bafana Bafana’.

Michezo mingine itakayochezwa katika hatua hiyo kwa siku tofauti ni Ujerumani v Paraguay, Ufaransa v Sweden, Uholanzi v Morocco, na Ureno v Croatia.

Pia, kuna Marekani v Bosnia, Ubelgiji v Senegal, Brazil v Japan, Ivory Coast v Norway, Mexico v Ecuador, na England v DRC.

Vilevile, kuna uhondo mwingine wa
United States vs Bosnia, Argentina v Cape Verde, Australia v Misri, Colombia v Ghana, Uswis v Algeria, na Hispania v Austria.

Related articles

Recent articles