25.5 C
Dar es Salaam

Stay tuned

Subscribe to our latest newsletter and never miss the latest news!
Our newsletter is sent once a week, every Monday.

Latest news

Rais Zimbabwe aachia wafungwa 4,000

HARARE, Zimbabwe RAIS wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa, ametangaza msamaha wa wafungwa takribani 4,000, ikiwa ni hatua ya kupunguza msongamano magerezani. Hatua hiyo ni utekelezaji wa kile...

FCT yawajengea uwezo wafanyabiashara Lindi kuhusu sheria za ushindani na rufaa

Na mwandishi wetu, Gazetini ILI kuongeza uelewa wa sheria za ushindani na taratibu za rufaa katika shughuli za kibiashara, Fair Competition Tribunal (FCT) imewakutanisha wafanyabiashara...

Tsavorite; Hazina ya kijani na fahari ya Tanzania isiyojulikana

Na Wizara ya Madini, Dodoma KATIKA safu ya madini adimu ya vito yanayotambulika katika masoko ya kimataifa, Tsavorite ya Tanzania imeendelea kujijengea nafasi ya kipekee,...

Usichokijua kuhusu saratani ya utumbo mpana

Na mwandishi wetu, Gazetini SARATANI ya utumbo mpana inatajwa kuwa ndiyo aina ya saratani inayoongoza kwa idadi kubwa ya vifo kwa watu wenye umri chini...

Changamoto wanazopitia wanafunzi Ukanda wa Gaza

JERUSALEM, Palestina MIAKA miwili iliyopita, Sarah Qanan alikuwa miongoni mwa wanafunzi waliokuwa wakifanya vizuri darasani. Ndoto ya kuwa daktari ilikuwa kichwani kwake na kumuongezea morali...

Clinton akana kuyajua ‘madudu’ ya Epstein

WASHINGTON DC, Marekani RAIS wa zamani wa Marekani, Bill Clinton, amesema hakuwahi kujua maovu ya Jeffrey Epstein hadi pale aliposikia mashitaka yake. Epstein, mmoja ya matajiri...

Ronaldo aondoka Saudia usiku kukimbia mashambulizi ya Iran

RIYADH, Saudi Arabia SUPASTAA wa Al Nassr ya Ligi Kuu ya soka ya Saudi Arabia, Cristiano Ronaldo, ameondoka nchini humo usiku wa manane akikimbia mashambulizi...

Simulizi ya wanandoa wanaoishi na UKIMWI

KIGALI, Rwanda ILIKUWA ni Januari, 2020, ambapo akiwa anatoka saluni katika mitaa ya mjini Kigali, Janvier Igabe alikutana na mwanadada Josiane Tuyishimire. Baada ya mazungumzo, walikubaliana...

Kocha afukuzwa kazi timu yake ikishinda 8-0

RIO, Brazil KLABU ya Flamengo ya Brazil imetangaza kumfuta kazi kocha wake, Filipe Luis. Ni baada ya timu hiyo kushinda mabao 8-0 dhidi ya Madureira. Flamengo...

Baada ya Iran, ni zamu ya Nigeria kupigwa na Marekani?

Na mwandishi wetu, Gazetini WACHAMBUZI wa siasa za kimataifa nchini Nigeria wanadhani nchi yao inaweza kufuata baada ya kile kilichoikuta Iran. Marekani kwa kushirikiana na washirika...

City yamtolea macho kiungo Bundesliga

MUNICH, Ujerumani MANCHESTER City imeendelea kuipambania saini ya kiungo wa Borussia Dortmund, Felix Nmecha, ambaye anatajwa kuwa na thamani ya Pauni milioni 60. Kwa mujibu wa...

IX – Sanaa ya mauaji ya kupanga

Na Christopher Cyrillo KIM Jong- nam, mtoto wa kwanza wa Kim Jong – il alitazamwa kama mrithi wa utawala wa Korea Kaskazini baada ya kumalizika...