Na mwandishi wetu, GazetiniPATRICK Kluivert, mzaliwa wa Jiji la Ajax, Uholanzi, alikulia katika familia ya wapenzi wa soka. Baba yake alicheza, ingawa hakufanikiwa kuwa...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Waziri Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba ameagiza kufunguliwa kwa Kanisa la Ufufuo na Uzima, huku akielekeza lipewe miezi sita ya uangalizi katika...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
PATRICK Kluivert, mzaliwa wa jiji la Amsterdam nchini Uholanzi, alikulia katika familia yenye mapenzi makubwa kwa mchezo wa soka. Baba yake...
Na Mwandishi Wetu
MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilemela imewaachia huru watuhumiwa 57 kati 61 wa kesi ya uhaini waliokuwa wakishikiliwa kufuatia maandamano na matukio ya...
CAIRO, MisriKWA mara ya kwanza katika historia ya Kombe la Dunia, fainali za mwakani zitazihuhudia timu nyingi za Afrika zikiwa chini ya makocha wazawa.Kati...
LONDON, UingerezaWINGA wa Bournemouth raia wa Ghana, Antoine Semenyo, atauzwa endapo tu klabu zinazomtaka zitaweka mezani kitita cha Pauni milioni 65.Semenyo (25), alikuwa kwenye...
WASHINGTON, Marekani
SERIKALI ya Marekani kupitia kwa Katibu Mkuu wake, Marco Rubio, imeeleza kufikia pazuri katika jitihada za kumaliza vita kati ya Urusi na Ukraine....
LAGOS, NigeriaTUKIO la kikundi cha waasi nchini Nigeria kuvamia moja ya shule na kuteka wanafunzi 315 limechukua sura mpya.Wanafunzi hao walivamiwa Ijumaa ya wiki...
JARUSALEM, IsraelIMERIPOTIWA kuwa kiongozi mwandamizi wa Kundi la Hezbollah la Lebanon, Haitham Ali al-Tabtabai, ameuawa katika shambulizi lililofanywa na vikosi vya Israel.Kwa mujibu wa...
MANCHESTER. UingerezaMABOSI wa Manchester United wameanza harakati za kumshawishi kiungo wake, Casemiro, asaini mkataba mpya klabuni hapo.Hata hivyo, ushawishi huo unaenda sambamba na mabosi...
MERSEYSIDE, UingerezaMABOSI wa Liverpool wamempa ofa ya mkataba mpya beki wake wa kati raia wa Ufaransa, Ibrahima Konate.Hatua hiyo ya Liverpool inakuja wakati huu...