Ads: info@gazetini.co.tz |
30.2 C
Dar es Salaam

Stay tuned

Subscribe to our latest newsletter and never miss the latest news!
Our newsletter is sent once a week, every Monday.

Latest news

Waziri Mkuu aeleza sababu yakutotaja idadi vifo vilivyotokea Oktoba 29

Na Mwandishi Wetu, Gazetini WAZIRI Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba amesema ni muhimu watanzania kutanguliza utu na heshima kwa familia zilizopoteza wapendwa wao, akipinga namna ambavyo...

Niffer arudishwa rumande, 20 kesi ya uhaini waachiwa huru

Na Mwandishi Wetu, Gezetini Watuhumiwa 20 kati ya 22 waliokuwa wanashtakiwa kwa makosa ya uhaini wameachiwa huru, huku mfanyabiashara wa vipodozi Jenifer Jovin (26) maarufu...

Wizara ya Madini yafuta leseni 73 za uchimbaji na utafiti

Na Mwandishi Wetu, Gazetini WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde, amefuta leseni 73 za utafiti na uchimbaji wa kati baada ya wamiliki wake kushindwa kurekebisha makosa...

Kocha Bafana Bafana aita kikosi cha AFCON

PRETORIA, Afrika KusiniKOCHA wa timu ya taifa ya Afrika Kusini 'Bafana Bafana', Hugo Broos, ameitakikosi cha awali cha wachezaji 54 kwa ajili ya fainali...

Viwango vipya CAF, Simba nafasi ya tano

CAIRO, MisriRIPOTI mpya ya viwango vya ubora wa klabu vya Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) imetoka na Simba ya Tanzania iko nafasi ya...

Makocha waliotimuliwa wakiwa na siku chache kazini

LONDON, UingerezaMWEZI uliopita, Ange Postecoglou aliweka rekodi ya kuwa kocha aliyefukuzwa ndani ya muda mfupi zaidi katika historia ya Ligi Kuu ya England (EPL).Mabosi...

Haaland, Mbappe, Kane na kufuru ya mishahara Ulaya

LONDON, UingerezaKLABU za Ulaya zinaendelea kumwaga mishahara minono kwa nyota wao, huku zile za Ligi Kuu ya England zikitajwa kuongoza.Katika makala haya, hawa ni...

Mabondia kutishiana kabla ya Desemba 26

Na Winfrida Mtoi, Gazetini KUELEKEA pambano kubwa la kufunga mwaka maarufu ‘Boxing On Boxing Day, tayari mabondia wanaopanda ulingoni siku hiyo wakiongozwa na Hassan Mwakinyo,...

Makocha hawa kiboko kwa kadi nyekundu

LONDON, UingerezaWAKATI mwingine, makocha wamejikuta wakizidiwa na presha ya kile kinachoendelea uwanjani na mwishowe kuadhibiwa kwa kadi nyekundu.Ni kama ilivyotokea kwa makocha hawa, ambao...

Imani za kishirikina na matumizi ya viungo vya binadamu

Na mwandishi wetu, GazetiniIKO hivi; kwa mujibu wa ripoti ya mwaka 2022 ya Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa (WHO), Taifa la Siera...

Usiyoyajua kuhusu Uchaguzi Mkuu Guinea-Bissau

Na mwandishi wetu, GazetiniKUELEKEA Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu uliofanyika Jumapili ya wiki iliyopita, Rais Umaro Sissoco Embalo alishajiweka kwenye nafasi nzuri ya kushinda...

Simulizi (2): Taribo West; Kutoka kutumia ‘hirizi’ uwanjani hadi uchungaji kanisani

Na mwandishi wetu, GazetiniKATIKA ulimwengu wa soka, wachezaji wengi wanatufundisha kuhusu maadili, juhudi, na vipaji vya ajabu. Lakini kwa Taribo West, nyota wa zamani...