30.4 C
Dar es Salaam

Stay tuned

Subscribe to our latest newsletter and never miss the latest news!
Our newsletter is sent once a week, every Monday.

Latest news

Chart| Watanzania waanza kuitikia matumizi ya nishati safi ya kupikia

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Dar es Salaam, Juni 25, 2025 – Licha ya juhudi mbalimbali za kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia nchini Tanzania,...

Wanaume wana haki ya kulindwa- IGP Wambura

Na Mwandishi Wetu Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura amesema wanaume nchini wana haki ya kulindwa, kusikilizwa na kupewa heshima ambapo wametakiwa...

Sinema mpya yaanza  kuelekea mechi ya Dabi kesho, Simba yakimbia mkutano wa wanahabari

Na Mwandishi Wetu Picha iliyotumwa na klabu ya Simba kwenye mitandao yao ya kijamii ni ujumbe  tosha baada ya kocha wao Fadlu Davis na nahodha...

RC Mtambi aagiza Halmashauri Serengeti kutoa fedha za uendeshaji kwa kila kijiji

Na Malima Lubasha, Gazetini-Serengeti Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Evans Mtambi, ameielekeza Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti kutenga na kupeleka angalau Shilingi 100,000 kila...

Rais Mwinyi kuvunja Baraza la Wawakilishi Agosti 13

Na Mwandishi Wetu Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ametangaza kuwa atalivunja rasmi Baraza la Kumi la Wawakilishi...

Wasira: Uchaguzi Mkuu sio ajali

Na Mwandishi Wetu MAKAMU Mwwnyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amewaeleza wabunge na madiwani hususan waliokuwa wanajifungia vioo kwenye magari wajue...

Serikali yaajiri watu 137,000 kuongeza mikakati ya afya ya kidijitali

Na Mwandishi Wetu Serikali imesema inaendelea na dhamira yake ya ushirikiano katika masuala ya afya ulimwenguni, huku ikifanya uwekezaji mkubwa wa miundombinu, utoaji wa huduma,...

Dk. Mpango ashiriki Misa Takatifu iliyoongozwa na Papa Leo XIV, atembelea kampuni ya Health 3000

Na Mwandishi Wetu Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango na mwenza wake Mama Mbonimpaye Mpango wameungana na waumini mbalimbali wa Kanisa Katoliki Duniani kushiriki Dominika...

Watumishi waaswa kuzingatia miiko, maadili ya utumishi wa Umma

Na Mwandishi Wetu Watumishi wa Umma wameaswa kuendelea kuzingatia miiko na maadili ya utumishi wa umma, sera za nchi, sheria, kanuni na miongozo iliyopo ambayo...

Mwamuzi kutoka Misri kuchezesha Dabi ya Kariakoo

Na Mwandishi Wetu Bodi ya Ligi Kuu  Tanzania Bara imemtangaza mwamuzi Amin Omar kutoka Misri kuwa mwamuzi wa kati wa mchezo wa Dabi ya Kariakoo, Yanga...

Magari ya umeme kutengezwa Tanzania

Na Mwandishi Wetu Tanzania inatarajia kunufaika na matumizi ya magari yanayotumia umeme na gesi yanayotarajiwa kutengenezwa nchinj kupitia kiwanda cha kampuni GF kilichopo Kibaha mkoani...

Dk. Biteko ataka  Afrika kupewa uhuru wa kuzalisha nishati kwa kutumia rasilimali zilizopo

Na Mwandishi Maalum Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati,  Dk. Doto Biteko ametoa wito kwa nchi za Afrika kupewa uhuru wa kuzalisha nishati kwa...