KUSUASUA kwa Uchumi ni miongoni mwa sababu ya migogoro kuanzia ngazi ya familia, na wakati mwingine kupelekea uwepo wa vitendo vya ukatili wa kijinsia...
SEKTA ya kilimo imekuwa na tija kubwa kwa maendeleo ya nchi nyingi barani Afrika, ikiwamo Tanzania.
Huku kikiwa chanzo cha ajira kwa asilimia zaidi ya...
KATIKA dhana nzima ya utandawazi, haiepukiki kutaja fursa lukuki za kiuchumi zinazotokana na ushirikiano wa kibiashara kati ya nchi moja na nyingine. Ni kwa...
MIAKA nane iliyopita, jina la Isabel dos Santos liliteka vichwa vya habari ndani na nje ya Afrika baada ya binti huyo wa Rais wa zamani wa Angola, Jose...
AMA hakika utalii ni sekta nyeti nchini, kama ilivyo kwa madini, kilimo, na nyinginezo zinazotegemewa kuchangia pato la Taifa. Ndiyo, sekta ya utalii huchangia...
CHANGAMOTO ya uhaba wa ajira imekuwa kaa la moto duniani kote, hasa kwa nchi zinazoendelea, ikiwamo Tanzania, huku wahanga wakubwa wakiwa ni vijana.
Aidha, ongezeko...