27.2 C
Dar es Salaam

Uchumi

Ripoti| Je unawafahamu Wanawake Ma-CEO Afrika 2022?

Machi 8, 2022 mtandao wa Africa.com ulitangaza Orodha Mahususi ya pili ya Wakurugenzi Wakuu na Maafisa Watendaji wakuu Wanawake, kulingana na Siku ya Kimataifa...

Infographic| OSHA inavyosaidia kukuweka salama kazini

Mkakati wa Serikali ya Awamu ya Sita inayongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan ni kuhakikisha kwamba uchumi wa nchi unaimarika hususan sekta ya viwanda. Hata...

Visual| Reli bado ina umuhimu

Treni au Garimoshi ni aina ya usafiri ambao umekuwapo miaka na miaka. Historia ya treni inahusu miaka mia mbili iliyopita ya ustaarabu wa kibinadamu...

Visual| Abiria wa safari za ndani waliosafiri na ndege za ATCL

Ni takribani miaka nane sasa tangu kufufuliwa kwa Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) mwaka 2015 na aliyekuwa Rais wa Awmu ya Tano, Hayati...

Visual| Mitandao ya simu ilivyopoteza wateja

Ripoti mpya ya Robo ya tatu ya Mwaka 2021 iliyotolewa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeonyasha kuwa kumekuwa na panda shuka ya wateja...

Infographic| Hatua zilizopigwa Sekta ya Mifugo na Uvuvi

Sekta ya Mifugo ni miongoni mwa maeneo ambayo Tanzania imekuwa ikiyatumia katika kuingiza fedha za kigeni ikiwamo pia utoaji wa ajira kwa Watanzania. Hata hivyo,...

Visualization| Serikali inavyovuna fedha kwenye michezo ya kubahatisha

UKWELI usio na shaka ni kwamba sekta ya Michezo ya Kubahatisha nchini imeonekana kupiga hatua kubwa katika miaka ya hivi karibuni. Hata hivyo, ukuaji huo...

Visualization| Miaka 60 ya Uchumi Tanzania

KAMA inavyofahamika kwamba Desemba 9, kila mwaka, ni kumbukizi ya uhuru wa Tanzania kutoka kwa Waingereza na kwa mwaka huu itakuwa ni miaka 60...

Visualization| Miaka 60 ya Madini Tanzania

TANZANIA iko kwenye mfululizo wa kueleza mafanikio yaliyopatikana kwa miaka 60 tangu ilipopata Uhuru wake Desemba 9, 1961. Katika kuelekea kilele cha miaka 60 ya...

Miaka 60 ya Uhuru| Tanzania ilivyosukwa

DESEMBA 9 kila mwaka, ni kumbukizi ya uhuru wa Tanzania kutoka kwa Waingereza na kwa mwaka huu itakuwa ni miaka 60 tangu ilipojitoa kwenye...

Infographic| Tanzania ilivyonufaika na Trilioni 1.3

Kwa sasa unaweza kusema ni kama vyuma vimeachia! Hii ni kutokana na miradi yenye thamani ya Sh trilioni 1.3 itakayotekelezwa na Serikali ya Rais...

Ukuaji wa Shughuli za Uchumi, Robo ya Pili ya Mwaka 2021

Kwa mujibu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) katika kipindi cha Aprili hadi Juni 2021, Shughuli ya Habari na Mawasiliano nchini ilikuwa na...

Recent articles

spot_img