27.2 C
Dar es Salaam

Uchumi

Rais Samia awakosha wakazi wa Nanyamba

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Wakazi wa Halmashauri ya Mji Nanyamba Wilaya Mtwara Vijijini wamefurahishwa na uamuzi wa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan wakuitaka Bandari ya...

Makala| Vipepeo; kitega uchumi kinachokumbukwa Muheza

*Serikali yasisitiza wananchi kuwa na subira Na Faraja Masinde, Muheza “…tuliumia sana, tukawaachia tu wakaruka na kwenda zao. Tukasema hatuna cha kufanya… na wakati huo ndiyo...

GGML: Tupo tayari kushirikiana na TANESCO

Na Mwandishi Wetu, Gazetini KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imesema ipo tayari kushirikiana kikamilifu na Shirika la Umeme nchini (Tanesco) kwa kutumia umeme...

Infographic| Ufanisi wa TIC kwa miaka mitatu

Na Mwandishi Wetu, Gazetini TANZANIA ni miongoni mwa nchi zenye fursa nyingi za uwekezaji katika Ukanda huu wa Afrika Mashariki, sambamba na hilo kwa siku...

Mramba avutiwa na banda GGML Sabasaba

Na Mwandishi Wetu, Gazetini KATIBU Mkuu wa Wizara ya Madini, Mhandisi Felchesmi Mramba ametembelea banda la Maonesho la Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML)...

Visual| Daraja la Busisi kutoka dakika 120 hadi 4

Na Immaculate Makilika – MAELEZO Kawaida daraja hujengwa kwa kusudi la kuwa na njia ya kupitia juu ya pengo au kizuizi. Licha ya hivyo daraja...

‘Viumbe vamizi vinatishia ustawi sekta ya utalii nchini’

Na Faraja Masinde, Gazetini Changamoto ya viumbe vamizi katika nyanja ya uhifadhi imetajwa kama moja ya sababu inayodhorotesha ustawi wa sekta ya utalii na maendeleo...

Chart| Halmashauri 10 zilizozima Posi kwa muda mrefu

Na Mwandishi Wetu, Gazetini WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Angellah Kairuki amesema wakurugenzi wa halmashauri ambao...

Infographic| Tunachofahamu kuhusu ndege mpya ya Boeing 767-300F

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Juni 3, 2023 Tanzania imepokea ndege ya kwanza ya mizigo aina ya Boeing 767-300F, ni wazi kuwa hatua hiyo itachochea kukuza...

Chart| Mwenendo wa Utekelezaji wa Mradi wa JNHPP

Na Jackline Jerome, Gazetini Tanzania inatekeleza ujenzi wa kituo cha kuzalisha umeme waMW 2,115 kwa kutumia maporomoko ya maji ya Mto Rufiji maarufu kama Bwawa...

Chart| SADC inavyoinufaisha Tanzania

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Kulingana na Ripoti ya Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara ya mwaka 2023, inaonyesha kuwa kumekuwa na ongezeko la bidhaa za...

Chart| Uchumi wa Tanzania wapaa miaka miwili ya Rais Samia – IMF

*Pato la Taifa lafikia Sh trilioni 200 kwa mwaka 2023 kutoka Sh trilioni 163 ya mwaka 2021 *Uchumi wa Tanzania sasa ni mkubwa kuliko baadhi...

Recent articles

spot_img