22.9 C
Dar es Salaam

Michezo

Mbwa amponza staa West Ham United

LONDON, UingerezaNYOTA wa zamani wa West Ham United ya England, Said Benrahma, amefunguliwa mashitaka baada ya mbwa wake kumng'ata mtembea kwa miguu.Benrahma (30), ambaye...

Singida Black Stars na safari yao ya kibabe CAF

Na mwandishi wetu, GazetiniBAADA ya kuisukuma nje ya mashindano Rayon Sports ya Rwanda, Singida Black Stars wameonga mbele na kuingia hatua ya pili ya...

Hawa hapa wapinzani wa Yanga raundi ya pili CAF

Na mwandishi wetu, GazetiniMABINGWA wa Ligi Kuu Bara, Yanga, nao wametinga raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Ni baada ya kuing'oa Wiliete...

Ramani ya Simba kuingia makundi CAF

Na mwandishi wetu, GazetiniBAADA ya kuing'oa Gaborone United ya Botswana, sasa Simba itaivaa Nsingizini Hotspurs ya Ligi Kuu ya Eswatini katika raundi ya pili...

Dimitar Pentev; ‘CV’ ya UEFA, uzoefu soka la Afrika

Na Hassan Mwasha, GazetiniSIKU chache tu zilizopita, Dimitar Pentev alitua kwa mara ya kwanza katika ardhi ya Tanzania akiwa na kikosi cha Gaborone United...

Savinho asaini miaka miwili Man City

MANCHESTER, UingerezaKIUNGO wa pembeni wa Manchester City, Savinho, amesaini mkataba mpya wa miaka miwili klabuni hapo.Savinho (21), huu ni msimu wake wa pili tangu...

Alisson nje ya uwanja kwa wiki sita

MERSEYSIDE, UingerezaLIVERPOOL itamkosa kwa wiki sita mlinda mlango wake raia wa Brazil, Alisson, baada ya majeraha aliyopata katika mchezo dhidi ya Galatasaray.Ni kwa maana...

Kocha Yanga: Hatukuwa na bahati kwa Mbeya City

Na Hassan Mwasha, GazetiniBAADA ya suluhu katika mchezo wao wa leo dhidi ya Mbeya City, kocha wa Yanga, Romain Folz, ameeleza kilichowanyima ushindi katika...

Saliba mitano tena Arsenal

LONDON, UingerezaBEKI wa kati wa Arsenal, William Saliba, amefichua kuwa amesaini mkataba mpya wa miaka mitano klabuni hapo.Nyota huyo raia wa Ufaransa amesema ameongeza...

Watanzania wahimizwa kushiriki mchezo wa kuogelea bila kujali umri

Na Winfrida Mtoi, Gazetini Watanzania wamehimizwa kushiriki na kujifunza mchezo wa kuogelea bila kujali umri ili kulinda afya na kutengeneza mahusiano na watu tofauti ikiwamo...

Amorim: Sihofii kufutwa kazi Man United

MANCHESTER, UingerezaKOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim, amesema tetesi za kufungashiwa virago klabuni hapo hazimuumizi kichwa kwa sasa.Amorim amekuja na kauli hiyo baada ya...

Burna Boy awakataa Ronaldo, Messi

LAGOS, NigeriaSUPASTAA wa muziki wa Afrobeats, Burna Boy, 'amewapotezea' Cristiano Ronaldo na Lionel Messi na kumtaja Jay Jay Okocha kuwa ndiye mwanasoka bora wa...

Recent articles

spot_img