LONDON, EnglandKOCHA wa Chelsea, Enzo Maresca, amesema timu yake si miongoni mwa zinazoweza kutwaa taji la Kombe la Dunia kwa ngazi ya Klabu.Maresca ameyasema...
NAPOLI, ItaliaTANGU iliponunuliwa na bilionea De Laurentiis na kurejea Serie A mwaka 2017, Napoli imekuwa tishio kwa vigogo wa Ligi Kuu hiyo ya Italia.Msimu...
LOS ANGELES, MarekaniSTAA wa Ligi Kuu ya Kikapu ya Marekani (NBA), Kevin Durant, amejiunga na Houston Rockets akitokea Phoenix Suns.Durant ameiacha Phoenix baada ya...
LONDON, EnglandARSENAL wamekamilisha usajili wa kiungo wa kimataifa wa Hispania, Martin Zubimendi, aliyetua klabuni hapo akitokea Real Sociedad kwa ada ya Pauni milioni 60.Makala...
MUNICH, UjerumaniKLABU ya Bayern Munich imethibitisha kuwa mshambuliaji wake, Jamal Musiala, atakuwa nje ya dimba kwa muda mrefu.Musiala alivunjika mguu wikiendi iliyopita, wakati Bayern...
LOS ANGELES, MarekaniKLABU za Ligi Kuu ya Marekani (MLS) na zile za Mexico (Liga MX) zinapigana vikunbo kuiwania saini ya mpachikaji mabao wa zamani...
Na Mwandishi Wetu
Chama cha Kuogelea Tanzania (TSA), kimefanya uteuzi wa awali wa waogeleaji watakaoshiriki Mashindano ya Africa Aquatics Kanda ya III, yatakayofanyika Oktoba 16-19,...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Kuelekea pambano la ngumi la 'Dar Boxing Derby', bondia Karim Mandonga kama kawaida yake, ametambulisha ngumi mpya atakayompigia mpizani wake Shaban...
MERSEYSIDE, EnglandPOLISI wamelazimika kuingilia kati na kuzuia kundi la mashabiki waliokuwa wakipiga picha katika kaburi la staa wa Liverpool na timu ya taifa ya...
Chelsea watambulisha 'jembe' jipyaLONDON, EnglandKLABU ya Chelsea imethibitisha usajili wa winga wa kimataifa wa England, Jamie Gittens.Nyota huyo aliyetokea Bundesliga alikokuwa akiitumikia Borussia Dortmund,...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
BAADA ya taarifa nyingi zinazomtaja kiungo Stephane Aziz Ki kurudi Yanga, Ofisa Habari wa klabu hiyo, Ali Kamwe, amefunguka. Aziz Ki,...
LONDON, EnglandKOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta, amewapa wiki mbili viongozi wa klabu hiyo kuhakikisha wanamnasa straika wa Sporting Lisbon, Viktor Gyokeres.Na endapo wataikosa saini...