Chelsea watambulisha ‘jembe’ jipya
LONDON, England
KLABU ya Chelsea imethibitisha usajili wa winga wa kimataifa wa England, Jamie Gittens.
Nyota huyo aliyetokea Bundesliga alikokuwa akiitumikia Borussia Dortmund, ameigharimu Chelsea kitita cha Pauni milioni 52.
Ikumbukwe, Gittens mwenye umri wa miaka 20 anakuwa mchezaji wa saba kusajiliwa na Blues majira haya ya kiangazi.
Published:


