Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Wadau mbalimbali kutoka Nchi za Afrika Mashariki wamekutana jijini Arusha katika kongamano la kwanza nishati safi ya kupikia la Afrika Mashariki linalolenga kujadili masuala mbalimbali yatakayowezesha Jumuiya hiyo kuondokana na matumizi ya nishati...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Jeshi la Magereza nchini limepongeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA), kwa kuhamasisha, kuwezesha matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa taasisi zinazohudumia watu zaidi ya 100.
Hayo yemebainishwa na Mkuu wa Jeshi la Magereza...
Na Ramadhan Hassan,Dodoma
Serikali imepanga kufunga mfumo wa kielektroniki ambao unawezesha magari kupimwa kwenye mizani bila usaidizi wa mtu (operator)
Hayo yameelezwa leo bungeni Machi 5,2025...