Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Ikiwa ni zaidi ya miaka 40 sasa tangu kuwapo kwa janga la Virusi Vya UKIMWI, Serikali ya Tanzania imesema kuwa imefanikiwa...
*Serikali inakumbushwa kuchukua hatua ikiwamo kubadili sera*Wazazi nao watakiwa kutokubaki nyuma
Na Faraja Masinde, Gazetini
Ni zaidi ya miaka 40 sasa imepita tangu janga la Virusi...
*Ni mfereji uliopewa jina la ‘Aunty Malaria’ kwasababu ya uzalishaji wa mbu katika makazi yaliyo karibu
*Pamoja na ugumu wa mazingira hayo, wananchi wanajitahidi kufanya...
Na Faraja Masinde, Gazetini
"Lakini siyo mila na desturi ziangaliwe tu, bali ziachwe kabisa kwani ni hatarishi na zinachochea maambukizi ya virusi vya ukimwi, mfano...
Na Faraja Masinde, Gazetini
"Sina furaha kabisa na ndoa hii, natamani kutoka lakini kinachonibakisha ni watoto wangu wawili, sitamani tena kuzaa mtoto mwingine nasubiri watoto...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Kwa mujibu wa Utatifi wa Demografia na Afya Tanzania wa mwaka 2010 ulikadiria kuwa asilimia 26 ya watoto waliozaliwa katika kipindi...
Utafiti wa TDHS-MIS 2015-16 unaonyesha kuwa 42% ya wanawake wa mijini ni wazito au wanene mara mbili zaidi ya wale wa vijijini.
Uzito uliokithiri na...
Na Faraja Masinde, Gazetini
Maisha ya wanawake 556 wanaofariki dunia kutokana na uzazi yanaweza kuokolewa iwapo tu uwekezaji utafanyika kwa Wakunga.
Aidha, vifo vya watoto 67...
Hali ya Ushamiri kwa kila Mkoa(%)
Tanzania inaendelea kuchukua hatua madhubuti katika kuhakikisha kuwa inatokomeza janga la UKIMWI kufikia mwaka 2030 kama ilivyo pia katika...
Kama inavyofahamika kwamba Unyonyeshaji una faida kubwa kwa mama na mtoto ikiwemo uimarishaji wa afya ya akili katika maendeleo ya mtoto, kuwalinda watoto dhidi...