25.1 C
Dar es Salaam

AFYA

Kamati yaridhishwa namna Magereza Chato linavyotekeleza mwitikio wa UKIMWI

Na Nadhifa Omar, Chato Kamati ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI imetembelea Gereza la Wilaya ya Chato kwa lengo la kujionea namna mwitikio...

TACAIDS Yakutanisha Wadau Kujadili vyanzo endelevu vya Mwitikio wa UKIMWI

Na Nadhifa Omary - TACAIDS Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania - TACAIDS kwa kushirikiana na wadau wamefanya Kikao cha Siku tatu jijini Arusha kwa lengo...

IWPG Tanzania Branch, held a meeting with UMOA Representative Benezer David

The Tanzania Branch of the International Women's Peace Group (Branch Manager Pendo Addis Mwasakyeni) held an online meeting on February 16th, which was led...

Baraza la Wafanyakazi TACAIDS lafanyika na kupata viongozi wapya

Na Nadhifa Omar, TACAIDS Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS), Dk. Jerome Kamwela, ameongoza kikao cha Baraza la wafanyakazi la Tume...

TACAIDS yakutana na Wadau kupitia rasimu tatu za uratibu wa afua za vijana balehe nchini

Na Nadhifa Omary, TACAIDS Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania kwa kushirikiana na wadau wamekutana kupitia, kujadili na kuthibitisha rasimu tatu za uratibu wa afua za...

OSHA yaeleza jinsi TEHAMA inavyorahisisha usimamizi wa usalama na afya

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) umeeleza kuwa matumizi ya mifumo ya TEHEMA umeiwezesha Taasisi hiyo kupata taarifa...

Kenya yaomba msaada wa dawa za kifua kikuu kutoka Tanzania

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Waziri wa Afya Wafula Nakhumicha amesema Kenya imeomba msaada kutoka Tanzania ili kukabiliana na uhaba wa dawa za Kifua Kikuu nchini...

Visual| Ushamiri wa VVU Tanzania

Na Faraja Masinde, Gazetini Ripoti mpya ya Utafiti wa Viashiria vya UKIMWI nchini Tanzania inaonesha maambukizi mapya miongoni mwa watu wazima wenye umri zaidi ya miaka...

IWPG Global Region 2 Regional Director Seo-Yeon Lee, Exchange with ‘How Women Work’ global organization in Qatar

- Representative Evridiki Iliaki “I want to discuss a peace workshop for refugees” On the 5th of last month, the International Women's Peace Group (IWPG),...

Visual| Watoto walivyoathirika na mafuriko Hanang

Na Faraja Masinde, Gazetini Serikali inaendelea na uratibu wa shughuli mbalimbali baada ya maafa ya maporomoko ya tope, mawe, magogo na maji kutoka mlima Hanang...

Visual| Serikali yaendelea kupokea misaada Hanang

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Serikali imeendelea kupokea misaada mbalimbali kutoka kwenye taasisi za umma na binafsi likiwemo Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Umoja...

Visual|Maendeleo ya uokoaji wa waathirika Hanang

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Gazetini imekufanyia uchambuzi wa Taarifa fupi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyotolewa leo Desemba 5, 2023, kuhusu maendeleo...

Recent articles

spot_img