5.9 C
New York

Burna Boy amemfuta kazi mama yake?

Published:

LAGOS, Nigeria
ZIPO taarifa zinazodai kuwa kwa sasa mama mzazi hataendelea kuwa meneja wa staa wa muziki wa Afrobeat, Burna Boy.
Minong’ono ya Burna Boy kumsitishia kibarua mama yake ilitokana na kushuka kwa mauzo ya tiketi za shoo zake.
Hivi karibuni, Burna Boy aliifuta shoo yake ya Marekani baada ya mauzo madogo ya tiketi.
Sasa, dada wa staa huyo, Nissi, ambaye pia ni mwanamuziki, ameibuka na kuzungumzia hilo.
Akitumia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa ‘X’ (zamani Twitter), bibiye huyo aliziita tarifa hizo kuwa ni za uongo.

Related articles

spot_img

Recent articles

spot_img