22 C
New York

Dk. Philip Mpango wakiteta jambo na Rais wa Kenya kabla ya mkutano wa Mabadiliko ya Tabiachi- Ethiopia

Published:

PICHA: Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Philip Mpango akizungumza na Rais wa Kenya Dk. William Ruto kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Pili wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi za Afrika kuhusu mabadiliko ya Tabianchi unaofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Addis nchini Ethiopia leo  Septemba 8 2025.

Related articles

spot_img

Recent articles

spot_img