6.4 C
New York

Staa Hip hop ajiua

Published:

LOS ANGELES, Marekani
RAPA mkongwe wa Marekani ambaye ni memba wa Kundi wa Outlawz, Young Noble, amejiua, akiwa na umri wa miaka 47.
Aliyefichua kifo cha Noble ni msanii mwenzake wa Kundi hilo, E.D.I. Mean, ambaye aliposti taarifa hiyo kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram.
“Kaka na mshirika wangu kwa miaka zaidi ya 30 amejiua leo asubuhi. Pumzika kwa amani Young Noble,” alisema.
Kama hiyo haitoshi, kupitia ukurasa wake huo, pia Mean alisema jamii haipaswi kupuuzia changamoto ya afya ya akili.

Related articles

spot_img

Recent articles

spot_img