MIAKA nane iliyopita, jina la Isabel dos Santos liliteka vichwa vya habari ndani na nje ya Afrika baada ya binti huyo wa Rais wa zamani wa Angola, Jose...
AMA hakika utalii ni sekta nyeti nchini, kama ilivyo kwa madini, kilimo, na nyinginezo zinazotegemewa kuchangia pato la Taifa. Ndiyo, sekta ya utalii huchangia...
CHANGAMOTO ya uhaba wa ajira imekuwa kaa la moto duniani kote, hasa kwa nchi zinazoendelea, ikiwamo Tanzania, huku wahanga wakubwa wakiwa ni vijana.
Aidha, ongezeko...
Benki inayoongoza nchini Tanzania, NMB, imeendeleza ufanisi wake kiutendaji katika kipindi cha Nusu ya Kwanza ya mwaka 2021.
Faida baada ya kodi ya mapato imeongezeka...
Wakati sheria ya ongezeko la tozo za miamala ya simu iliyoanza kutumika nchini Julai 15, mwaka huu, ikilalamikiwa kila kona, Watanzania walio wengi wameanza...
NA MWANDISHI WETU
Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), imesema maboresho makubwa wanayoendelea kufanyika yataiwezesha kuongoza kwa kuwa bandari kubwa inayopokea magari mengi Afrika Mashariki hadi...
Tanzania ilisaini na kuridhia Mkataba wa Kimataifa wa Haki za Watu Wenye Ulemavu ambao pamoja na mambo mengine unazitaka nchi wanachama kuchukua hatua katika...