Na Mwandishi Wetu, Gazetini
KUTOKANA na mazingira mazuri ya uwekezaji yanayoendelea kuboreshwa na Serikali inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan, Kampuni AngloGold Ashanti imetangaza kuanzisha...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuzindua programu ya nishati safi ya kupikia itakayosaidia wanawake...
Na Veronica Simba, Gazetini
Wakala wa Nishati Vijijini (REA), katika Mwaka huu wa Fedha (2023/24), umetenga shilingi bilioni 10 kwa ajili ya kusambaza mitungi ya...
*Kunufaisha zaidi ya wananchi 350,000
Na Faraja Masinde, Tanga
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Waziri Kindamba amezindua mradi wa ReSea unaolenga uhifadhi wa maeneo makubwa ya...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Mchango wa Kampuni ya AngloGold Ashanti – Geita Gold Mining Limited (GGML) umeendelea kutambuliwa na wadau mbalimbali wa sekta ya madini...
Na Faraja Masinde, Gazetini
Mabadiliko ya tabianchi imeelezwa kuwa moja ya changamoto inayoathiri sekta ya kilimo nchini hatua ambayo imesababisha hata mbegu zilizopo kushindwa kustahimili...
*Kuanza kwa kuwekeza Bilioni 250
Na Mwandishi Wetu, Lusaka
Mfanyabishara wa Kimataifa, Rostam Aziz, kupitia kampuni yake ya Taifa Group, ameingia nchini Zambia ambako ameanza kuwekeza...
Na Clara Matimo, Gazetini
Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ina dhamira ya kuona sekta ya kilimo nchini ikipiga...
Na Jackline Jerome, Gazetini
Kulingana na takwimu mpya zilizotolewa mwaka huu na Shirika la Fedha la Kimataifa(IMF), pato la Taifa la Tanzania kwa bei ya...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman leo Jumamosi Septemba 30, 2023 ametembelea banda la Kampuni ya Geita Gold...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
MKUU wa Mkoa wa Geita, Martin Shigela ameipongeza Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kuendelea kuwa mdhamini mkuu wa...