YOUNDE, Cameroon
TIMU ya soka ya Taifa ya Cameroon haikufuzu fainali za Kombe la Dunia za mwaka huu (2026) lakini lejendari wake, Rigobert Song, ana...
MIAMI, Marekani
TEKNOLOJIA ya kumsaidia mwamuzi kwa marudio ya video (VAR) imeibua sintofahamu kwa baadhi ya maamuzi yake wakati huu wa fainali za Kombe la...
TORONTO, Canada
TIMU ya soka ya Taifa ya Canada imekuwa ya kwanza kuingia hatua ya 16 Bora baada ya kuitoa Afrika Kusini 'Bafana Bafana'.
Katika mchezo...
MIAMI, Marekani
MWAKA 2022, Morocco ilikuwa timu ya kwanza ya Afrika kufikia nusu fainali katika historia ya michuano ya Kombe la Dunia.
Safari hii, kwa maana...
MEXICO CITY, Mexico
KOCHA wa timu ya soka ya Taifa ya Argentina, Lionel Scaloni, amethibitisha kuwa atampumzisha nahodha wake, Lionel Messi, katika mchezo wao dhidi...