MEXICO CITY, Mexico
FAINALI za Kombe la Dunia za mwaka huu (2026) zinaendelea kuchanja mbuga, huku baadhi ya timu zikiwa zimeshatinga hatua ya 16 Bora.
Baadhi...
MIAMI, Marekani
KOCHA wa timu ya soka ya Taifa ya Ubelgiji, Rudi Garcia, amesema nahodha wake, Youri Tielemans, ndiye mchezaji aliyekuwa na mchango mkubwa katika...
TORONTO, Canada
MKONGWE wa soka la Liberia, George Weah, ambaye ni Mwafrika pekee kuwahi kubeba Ballon d'Or, amesema Kylian Mbappe ni bora kuliko Lamine Yamal.
Weah...
MEXICO CITY, Mexico
MASHABIKI wawili wa kandanda wamepoteza maisha nchini Mexico wakati wakishangilia ushindi wa timu yao ya Taifa.
Tukio hilo limetokea baada ya Mexico kupata...
MIAMI, Marekani
LEJENDARI wa timu ya soka ya Taifa ya Ivory Coast, Didier Drogba, ameeleza kusikitishwa na uamuzi wa VAR kuwanyima penalti.
Drogba anazungumzia mchezo wao...
WASHINGTON DC, Marekani
INAFAHAMIKA kuwa bado uhusiano kati ya Marekani na Iran haujakaa sawa. Mataifa hayo yanaendelea kushambuliana kijeshi, licha ya makubaliano ya hivi karibuni...
MUNICH, Ujerumani
BAADA ya timu ya soka ya Taifa ya Ujerumani kutolewa kwenye michuano ya Kombe la Dunia, kocha wake, Julian Nagelsmann, amesema hana mpango...
MIAMI, Marekani
WENYEJI wa fainali za Kombe la Dunia za mwaka huu, Canada, ambao wanashirikiana na Mexico na Marekani, watakwana na Morocco katika hatua inayofuata...