Na Mwandishi Gazetini, Gazetini
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ametoa wito kwa Idara na Vitengo vya Mazingira katika wizara na...
*Atoa maagizo Dawasa kutoa maji yote machafu yaliyoatuama kwenye mifereji
Na Grace Mwakalinga, Gazetini
MAKAMU wa Rais, Dk. Philip Mpango ametoa muda wa wiki moja kwa...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Tanzania inaendelea kuchukua hatua muhimu katika kuhakikisha kuwa asilimia 80 ya Watanzania wanatumia nishati safi ya kupikia ifikapo mwaka 2033.
Hatua hiyo...
Na Faraja Masinde, Gazetini
Serikali imeanza kuandaa Muongozo mpya wa kuhakikisha kuwa inapunguza changamoto ya migongano kati ya binadamu na wanyamapori huku ikiwawezesha wananchi kunufaika...
*TUI Sea the Change Bali includes the installation of a floating pontoon for coral planting and awareness workshops for visitors
*TUI Sea the Change Dominican...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefungua Mkutano wa Nishati Safi ya Kupikia Barani Afrika unaofanyika katika...
*Watanzania 80% kutumia Nishati Safi ya Kupikia ifikapo 2034
*Wakuu wa Mikoa na Wilaya Kusimamia Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia
Na Ofisi ya Naibu Waziri...
Na Grace Mwakalinga, Gazetini- Kyela
ASASI ya Kijamii ya Kyela Festival, inayofanya shughuli zake katika Halmashauri ya Wilaya ya Kyela mkoani Mbeya, imepanga kutoa elimu...
TUI Care Foundation pledges half a million Euro to support marine conservation in the BalearicsTUI Sea the Change Balearics project restores shallow water bays,...
Na Grace Mwakalinga, Gazetini
WATU zaidi ya milioni 500 duniani kila mwaka huambukizwa ugonjwa wa malaria unaosambazwa kwa kung’atwa na mbu jike aina ya Anopheles...
Na Malima Lubasha, Gazetini-Serengeti
BONDE la Maji katika Kijiji cha Nyamitita Kata ya Ring’wani wilayani Serengeti mkoani Mara, lipo hatarini kukauka kutokana na shughuli za...