Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Waziri wa Afya, Jenista Mhagama amelitaka Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala nchini kujikita katika tafiti za dawa za tiba asili na mbadala na kuzitumia tafiti hizo ili zilete mchango kwenye sekta...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amewataka viongozi kote nchini kuweka maslahi ya wananchi mbele na kuacha migogoro inayotokana na ubinafsi wao.
“Hawa Watanzania hawataki migogoro yetu sisi viongozi na...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Imeelezwa kuwa urejelezwaji wa betri chakavu bila kuzingatia miongozo ya kimazingira ni chanzo kikubwa cha uchafuzi wa mazingira na huweza kusababisha...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Misitu ina mchango mkubwa katika sekta ya utalii, ikivutia mamilioni ya wageni kila mwaka na kuchangia kwa kiasi kikubwa uchumi wa...
Mauritius, an island destination renowned for its natural beauty and vibrant marine life, is facing challenges with littering and waste accumulation. Despite ongoing efforts,...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Serikali kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imeendelea na juhudi za kuboresha Hifadhi ya Makuyuni Wildlife Park mkoani Arusha,...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umetenga kiasi cha shilingi milioni 455.7 kwa ajili ya kusambaza mitungi ya gesi 22,785 mkoani Tabora,...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Serikali imetenga Shilingi bilioni 45.1 kwa mwaka wa fedha 2024/2025 kwa ajili ya kudhibiti migongano baina ya binadamu na wanyamapori nchini,...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limewataka wafanyabiashara wa betri chakavu kuzingatia kanuni na maelekezo waliyopewa katika...
By Our Correspondent
UN Tourism and the TUI Care Foundation launch ‘Colourful Cultures’, a call for proposals focused on supporting the creative talent of a...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Chama cha Waandishi wa Habari za Mazingira Tanzania (JET) kilifanya mafunzo maalum Septemba 5-6, 2024 kwa wahariri zaidi ya 20 huko...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Katika jitihada za kulinda urithi wa maliasili na kuimarisha uhifadhi nchini, serikali imechukua hatua muhimu kwa kusaini mkataba wa kulinda ushoroba...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI (Afya), Dk. Festo Dugange amekishauri Kituo cha Taifa cha Ufuatiliaji na Usimamizi wa Biashara ya...