28.9 C
Dar es Salaam

Kitaifa

Rais Samia aagiza Tume kuchunguza, kujua haki wanayoidai vijana

Na Mwandishi Wetu, Gazetini RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.Samia Suluhu Hassan ameielekeza Tume Huru ya Uchunguzi matukio yaliyotokea uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba...

Mayele, Mzize wang’ara tuzo za CAF

RABAT, MoroccoWAKATI straika wa Pyramids FC ya Misri, Fiston Mayele, akitwaa tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka 2025 kwa upande wa Ligi za Ndani...

Pyramids yaibwaga Simba tuzo za CAF

RABAT, MoroccoPYRAMIDS FC ya Ligi Kuu nchini Misri imetwaa tuzo ya Klabu Bora Afrika kwa mwaka huu, ikiipiku Simba SC ya Tanzania.Mbali ya Simba,...

Mwili wa Joshua warejeshwa nyumbani baada ya kusubiri kwa miaka miwli

Mwandishi Wetu, Gazetini BAADA ya miaka miwili ya kusubiri kwa maumivu na wasiwasi, hatimaye mabaki ya mwili wa kijana Mtanzania Joshua Mollel (21) aliyedaiwa kuuawa...

Tanzania yaanza kuchukua hatua kukabili mabadiliko ya tabianchi

Belem, BRAZIL Serikali ya Tanzania kupitia Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imeanza kuchukua hatua madhubuti kuhakikisha wananchi hawakatizwi tena na mafuriko yanayosababishwa...

Rais Samia: Yaliyotokea yameipunguzia sifa Tanzania, sioni shida kubadilisha mawaziri

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema yaliyotokea Oktoba 29, yameitia doa Tanzania na huenda yakaipunguzia sifa...

Baraza jipya la Mawaziri ‘surprise’, walioachwa, wapya na waliobaki

Na Mwandishi Wetu,Gazetini Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametangaza baraza jipya la mawaziri, akiunda jumla ya wizara 27, mbili zikiwa...

Yanga v FAR Rabat; Rekodi zinabana, zinaachia

Na Hassan Mwasha, GazetiniYANGA watashuka dimbani wikiendi hii (Novemba 22) kwa mchezo wao wa kwanza wa hatua ya makundi msimu huu wa Ligi ya...

Dk. Mwigulu: Mafaili yamfuate mjamzito kitandani, marufuku

Na Mwandishi Wetu, Gazetini WAZIRI Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba leo Novemba 15, 2025 amefanya ziara ya kushtukiza katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma...

Korea ya Kaskazini na mafanikio soka la wanawake

Na mwandishi wetu, GazetiniSOKA la wanawake nchini Korea ya Kaskazini limepata mafanikio makubwa katika miaka ya hivi karibuni, ambapo timu yake ya vijana wenye...

Serikali yaboresha mfumo wa kukabiliana na majanga ya msimu

Na Mwandishi Wetu, Gazetini MKURUGENZI wa Idara ya Menejimenti ya Maafa, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Brigedia Jenerali Hosea Ndagala, amewataka washiriki...

Serikali kuunda Tume kuchunguza yaliyotokea Oktoba 29

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Rais Samia Suluhu Hassan amesema amehuzunishwa na vurugu zilizotokea wakati wa uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025 na kusema kuwa Serikali imeunda...

Recent articles

spot_img