22.4 C
Dar es Salaam

Kitaifa

Dk. Biteko afanya mazungumzo na Spika wa Bunge la Morocco

Na Mwandishi Wetu Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko ametembelea Bunge la Morocco ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kikazi...

Rais Mwinyi: Tutamuenzi Charles Hilary kwa utendaji wake

Na Mwandishi Wetu Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amewaongoza viongozi mbalimbali na mamia ya Wananchi katika maziko...

Rais wa Finland ziarani nchini, Rais Samia ampokea

Na Mwandishi Wetu Rais wa Jamhuri ya Finland, Alexander Stubb, amewasili nchini na kupokelewa na mwenyeji wake, Rais Samia Suluhu Hassan, kisha kukagua  gwaride la...

Tanzania, Ivory Coast zajadiliana fursa za kilimo

Na Mwandishi Wetu Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekutana na Waziri Mkuu wa Ivory Coast, Robert Beugre Mambe na kujadiliana naye masuala ya kidiplomasia, kiuchumi, teknolojia,...

Msajili Hazina: Ni wakati wa Tanzania kunadi fursa za uwekezaji kimataifa

Na Mwandishi Wetu,Ivory Coast KATIKA jukwaa kubwa la viongozi wa taasisi za kibiashara barani Afrika, maarufu kama Africa CEO Forum, Tanzania imeendelea kujidhihirisha kama taifa...

Bunge lapitisha Bajeti ya Trilioni 2.44 wizara ya elimu

Na Ramadhan Hassan, Gazetini- Dodoma Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha bajeti ya Sh Trilioni 2.44 kwa mwaka wa fedha 2025/2026 kwa ajili...

Rais Samia aongoza  mazishi ya Hayati Cleopa Msuya,  ataja mambo ya kujifunza

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Rais Samia Suluhu Hassan ameongoza mazishi ya aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu wa Tanzania, Hayati Cleopa Msuya...

Viongozi wa Serikali waongoza  wakazi wa Mwanga kuaga mwili wa  Hayati Cleopa Msuya

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Viongozi mbalimbali na   wakazi wa Mwanga na maeneo ya jirani kuaga mwili wa aliyewahi kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais na...

Dar yaongezwa majimbo mawili ya uchaguzi mkuu

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi(INEC) imeanzisha majimbo mapya nane ya uchaguzi na kubadilisha majina ya majimbo 12 ambapo Mkoa wa...

Tanzia: Charles Hillary afariki dunia

Na Mwandishi Wetu Aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano Ikulu ya Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Charles Hillary, amefariki dunia...

Serengeti ni Tunu ya Taifa na Urithi wa Dunia itunzeni

Na Malima Lubasha, Gazetini-Serengeti Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Evans Mtambi, amewataka wananchi kushirikiana kwa karibu na wahifadhi katika kulinda, kutunza na kuhifadhi maeneo...

DCP Mambosasa afungua mafunzo ya medani za kivita

Na Mwandishi Wetu Mkuu wa Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es Salaam, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Dk. Lazaro Mambosasa amefungua mafunzo ya medani...

Recent articles

spot_img