Ads: info@gazetini.co.tz |
31.2 C
Dar es Salaam

Kitaifa

Yanga v Simba: Nani ‘ataacha ndala’ huko Visiwani?

Na mwandishi wetu, Gazetini WATOTO wa mjini wakikwambia ‘utaacha ndala’, huwa wanamaanisha utakutana na kitu kizito. Je, ni mashabiki wa Yanga au Simba watakaokutwa na...

Hatua za Tanzania katika kutokomeza Malaria

Na mwandishi wetu, Gazetini TANZANIA imepiga hatua kubwa katika kupunguza athari za malaria, huku takwimu za hivi karibuni zikionyesha kupungua kwa vifo, maambukizi na wagonjwa...

Watoto 75,500 nchini kuchunguzwa Sikoseli

Na mwandishi wetu, Gazetini JUMLA ya watoto na vijana wapatao 75,500 wanatarajiwa kufanyiwa uchunguzi wa ugonjwa wa selimundu (sikoseli) ili kubaini mapema hali zao za...

Usiyoyajua kuhusu Siku ya Malaria Duniani

Na mwandishi wetu, Gazetini LEO Aprili 25, 2026 ni Siku ya Malaria Duniani na kaulimbiu ni "Lengo ni Kutokomeza Malaria: Sasa Tunaweza. Tunapaswa Kutokomeza." Kaulimbiu hiyo...

Tume yaanika idadi walipoteza maisha Oktoba 29

Na Mwandishi Wetu, Gazetini TUME ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, imesema kuwa...

Rais Samia akabidhi 94.1 bilioni mikopo ya wanawake, vijana

Na Mwandishi Wetu, Gazetini SERIKALI imekabidhi hundi ya shilingi 94.1 bilioni kwa ajili ya mikopo ya wanawake, vijana, watu wenye ulemavu, wafanyabiashara wadogo, wakiwemo mamalishe...

Latra yatangaza nauli mpya za mabasi, daladala

Na Mwandishi Wetu, GazetiniMamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imetoa bei mpya za nauli kwa mabasi yanayofanya safari za mikoani, mabasi ya mijini (daladala),...

Bosi EWURA atumbuliwa

Na Mwandishi Wetu Rais Samia Suluhu Hassan, ametengua uteuzi Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) wa Dk. James...

Rais Samia: Serikali itachukua hatua yaliyopendekezwa na CAG

Na Mwandishi Wetu RAIS Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itachukua hatua kama ilivyoelekezwa na sheria na kama ilivyopendekezwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali...

Bwege afariki dunia

Na Mwandishi Wetu MBUNGE wa zamani wa Jimbo la Kilwa Kusini, Mkoani Lindi, Selemani Bungara maarufu Bwege amefariki  leo mchana Machi 30,2026 wakati akipatiwa matibabu...

Hasara ATCL yaongezeka maradufu, yafikia Sh Bilioni 191.19

Na mwadishi wetu, Gazetini RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imebaini kuwa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) limeendelea kupata hasara...

Makaa ya mawe injini mpya ya mageuzi ya viwanda

Na mwandishi wetu, Gazetini WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde, amesema makaa ya mawe yana nafasi ya kimkakati katika kuharakisha mageuzi ya uchumi wa Tanzania kuelekea...

Recent articles