Mwandishi Wetu na Mashirika
Leo Januari 14, 2024 zimetimia siku 100 tangu Kundi la Hamasi lilipoishambulia Israel Oktoba 7, 2023 na kusababisha mzozo mbaya katika...
Na Patricia Kimelemeta, Gazetini
Desemba 2021 Serikali ilizindua Programu Jumuishi ya Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto (PJT-MMMAM) Desemba 2021 ikiwa na...
Na Faraja Masinde, Gazetini
Ripoti mpya ya Utafiti wa Viashiria vya UKIMWI nchini Tanzania inaonesha maambukizi mapya miongoni mwa watu wazima wenye umri zaidi ya miaka...
Na Faraja Masinde, Gazetini
-Kwa msaada wa mashirika mbalimbali ya habari
Takriban watu 21,107 wameuwa wakiwamo watoto 7,802 wa Palestina tangu kuanza kwa mashambulizi ya Isarael...
Na Malima Lubasha, Gazetini
SHIRIKA lisilo la kiserikali la Hope for Girls and Women in Tanzania la wilayani Serengeti mkoani Mara linahifadhi wasichana 171 katika...
Na Faraja Masinde, Gazetini
Serikali inaendelea na uratibu wa shughuli mbalimbali baada ya maafa ya maporomoko ya tope, mawe, magogo na maji kutoka mlima Hanang...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Serikali imeendelea kupokea misaada mbalimbali kutoka kwenye taasisi za umma na binafsi likiwemo Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Umoja...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Gazetini imekufanyia uchambuzi wa Taarifa fupi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyotolewa leo Desemba 5, 2023, kuhusu maendeleo...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema idadi ya watu waliokufa kutokana na maporomoko ya udongo wilayani Hanang, mkoani Manyara imefikia 63 na...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuzindua programu ya nishati safi ya kupikia itakayosaidia wanawake...
Na Veronica Simba, Gazetini
Wakala wa Nishati Vijijini (REA), katika Mwaka huu wa Fedha (2023/24), umetenga shilingi bilioni 10 kwa ajili ya kusambaza mitungi ya...
Na Mwandish Wetu, Gazetini
Kulingana na Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 yaliyotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS), Manyara ndiyo...