Na Nora Damian, Gazetini
Zaidi ya watu 50 wamefariki dunia kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha ambazo zimesababisha mafuriko katika maeneo mbalimbali nchini.
Vifo 28 zimeripotiwa kutokea...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini-Mwanza
Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) kwa kushirikiana na Taasisi ya Wezesha Binti na Mama Mjasiriamali (WBM) linatarajia kupanda miti 6,000 ndani...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali inachukua kila jitihada kuhakikisha wafanyakazi nchini wanalindwa dhidi ya...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Oktoba, 2023 Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) lilichapisha Orodha ya nchi 20 duniani ambazo uchumi wake unatarajiwa kukua kwa kasi...
*Atahadharisha kutokubadili matumizi ya eneo la uhifadhi
*JET kujenga wigo zaidi kwa waandishi
Na Faraja Masinde, Gazetini-Bagamoyo
Tanzania ni kati ya nchi chache duniani zilizobarikiwa kuwa na...
The International Women’s Peace Group (IWPG, Chairwoman Hyun Sook Yoon), an UN-accredited NGO, will participate in the 68th UN Commission on the Status of Women...
Na Faraja Masinde, Gazetini
Katika kuhakikisha kuwa jamii inaandaa akina Wangari Maathai wengine watakaotunza mazingira, Ubalozi wa Kenya nchini Tanzania umeeleza kuwa upo tayari kuongeza...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Kwa mujibu wa Wizara ya Maliasili na Utalii nchini, Tanzania ina jumla ya shoroba 61 ambapo 41 zipo hatarini kutoweka kutokana...
Na Faraja Masinde, Gazetini
Takwimu zinaonyesha kuwa biashara haramu ya viumbe pori inashika nafasi ya nne katika kundi la biashara haramu duniani ikitangaliwa na ile...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Michezo ya hatua ya nusu fainali ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) inatarajiwa kupigwa leo Februari 7, 2024.
Katika...
Na Faraja Masinde, Gazetini
Ukosefu wa Magati yanayotosheleza ikiwamo miundombinu isiyotosheleza ya reli na barabara ni moja ya sababu zinazokwamisha bandari ya Dar es Salaam...